Makapuku Forum

Makapuku Forum

KUFAFANA KWA "AJABU" KWA JOHN KENNEDY & ABRAHAM LINCOLN
1.
Wote walichaguliwa kwenye "CONGRES "miaka inayoishia na 46.
Abraham ni 1846.
Kennedy ni 1946.
2.Wote walizaliwa miaka inayoishia na 13.
Abraham ni 1813.
Kennedy ni 1913.
...loading 3,4......
 
3.Wote walishindwa kwenye uchaguzi wa kuwa makamu wa rais miaka inayoishia na 56.
Abraham ni 1856
Kennedy ni 1956.
4.Wote walichaguliwa kuwa marais miaka inayoishia na 60.
Abraham ni 1860.
Kennedy ni 1960.
...loading 5,6....
 
tapatalk_1475124599829.jpeg
 
5.wote waliwashinda wapinzani wao ambao nao wamezaliwa miaka inayoishia na 13.
Lincoln alimshinda Douglas ambaye alizaliwa 1813.
Kennedy alimshinda Richard Nixon ambaye alizaliwa 1913.
6.Wote walifiwa na watoto wao wakiwa ikulu.
..loading 7,8,9....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom