Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,226
- 39,946
Ni kweli, wana mungu wao(msinipige mawe!!!)nimeanza kuaminia kuwa marekani kuna "mungu wao" baada ya kusoma hii makala,inavutia pia inaogopesha

Ni kweli, wana mungu wao(msinipige mawe!!!)nimeanza kuaminia kuwa marekani kuna "mungu wao" baada ya kusoma hii makala,inavutia pia inaogopesha

Leo ni siku ya Moyo duniani.
Wacha kiherehere kaka.. Umeulizwa!!?+ Wote waliuawa kwa kupigwa risasi
......

Leo ni siku ya kahawa katika nchi za Sweden, Norway, Marekani, Mexico, Uingereza na India.
Ni kweliVitu vingine hutokea kwa kupangwa, sio kwa bahati mbaya.
Tuufanyeje sasa moyoLeo ni siku ya Moyo duniani.
1987 - Henry Ford II anafariki Dunia.
Alikuwa ni mfanyabiashara toka Marekani.
Asa diesel mafuta yalipewa jina lake au yeye baada ya kugundua hiyo injini akajibatiza???1913 - Rudolf Diesel anafariki Dunia.
Alikuwa ni mgunduzi wa Injini ya Dizeli kutoka Ujerumani.
Mbea huyo mtoto.nakuja usijari
Panga boi Jana hiyowagunduzi wa TZ lini?
Senksi for ze nyuziView attachment 408798View attachment 408799
Kwa hisani ya bombadier sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama wa Leo
Naitwa Jimena Jimenes
Adios
Mtu akitukana ni kureport siyo kumjibuhaa ha makapuku sio watu wa mchezomchezo
1938 - Wim Kok anazaliwa.
Ni waziri mkuu wa Uholanzi.