Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Kwani ww si bado studentMbona mimi hawajanipost mademu zangu dah 🙁
Kwani ww si bado studentMbona mimi hawajanipost mademu zangu dah 🙁
ila si yule alitengeneza helikoptaBado sana kakaa....hadi vitukuu
Maana moyo unalishwa junki fudzi hapo hapo unaumizwa....
balaa tupu.Nilisahau kumbe mi mwanafunzi bhana oweehKwani ww si bado student
Shikamoo united states of America walahi kwa kutekeleza Assassins tu na mipango kazi nimewashindwa....mi nikiona post humu ni kulike tu,sikujua kuwa mpita njia

.hao jamaa nawaogopaShikamoo united states of America walahi kwa kutekeleza Assassins tu na mipango kazi nimewashindwa.....
Na iko wazi kabisa kila kitu kilipangwa hiyo haiwezi ikawa coincidence.Vitu vingine hutokea kwa kupangwa, sio kwa bahati mbaya.
Sasa anabishana nao ili iweje?hawa jamaa naogopa sana,nashangaa nape nnauye anabishana nao.
This was planned wamarekani ni hatari sana kwa mipango. Wala hiyo sio coincidence!
Jamani this is not a coincedence!7.wote waliuwa siku ya ijumaa,na wote walipigwa risasi kichwani.
8.katibu mkuu wa lincoln aliitwa KENNEDY.
na katibu mkuu wa kennedy aliitwa LINCOLN.
9.wote walikuwa na makamu wa rais mwenye jina moja,JOHNSON.
kwa kuwa Bitoz ameleta picha basi tukutane kesho
The Book wa Makapuku kwa msaada wa mtandao.
...i think the whole thing was planned.Uovu tu huo waliufanya wala hawana Mungu wao, wana shetani wao.nimeanza kuaminia kuwa marekani kuna "mungu wao" baada ya kusoma hii makala,inavutia pia inaogopesha
Yes aka sokweThe book ndio Genda heka au??![]()
Mbaya zaidi dunia nzima na kinachoendelea wanakiona huko...ni watu hatari sana.hao jamaa nawaogopa
Hahahahaha wanataka kuwafurahisha mabwana zao*Wakat naperuz FB na WhatsApp nimeona wadada wengi wamepost picha za wapenz wao, nikajiuliza kuna nn Leo. Kucheki kalenda kumbe mwisho wa mwezi*.
*#hawatakagi ujingaaa*![]()
Labda huna kazi hahahahahaMbona mimi hawajanipost mademu zangu dah 🙁
Ila ana ID mbili eeh?Yes aka sokwe
NadhaniIla ana ID mbili eeh?
Nani huyo? weka picha basiila si yule alitengeneza helikopta
Uko vizur na history ya leondo mimi