Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
1913 - Rudolf Diesel anafariki Dunia.
Alikuwa ni mgunduzi wa Injini ya Dizeli kutoka Ujerumani.
RIP
......
1913 - Rudolf Diesel anafariki Dunia.
Alikuwa ni mgunduzi wa Injini ya Dizeli kutoka Ujerumani.
ile siyo ugunduzi wetuPanga boi Jana hiyo
Leo fulu viongozi[emoji4]1943 - Mohammad Khatami anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 5 wa Iran.
Morning jiraniMorng banduguz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kush iz not gud fo yua helthi, smok at yua own riski
Sikuwa nikilifaham hili!!!1913 - Rudolf Diesel anafariki Dunia.
Alikuwa ni mgunduzi wa Injini ya Dizeli kutoka Ujerumani.
1951 - Michelle Bachelet anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 34 wa Chile.
1987 - Henry Ford II anafariki Dunia.
Alikuwa ni mfanyabiashara toka Marekani.
Anaza wan [emoji115] [emoji4]1951 - Michelle Bachelet anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 34 wa Chile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Panga boi Jana hiyo
Mwingine[emoji4]1961 - Julia Gillard anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 27 wa Australia.
Kuzungumza na chizi unaonekana chiziMtu akitukana ni kureport siyo kumjibu
.............
Yalitolewa maelezo utafikiri sisi ndio wagunduzi wa hiyo ndegeile siyo ugunduzi wetu
Niambie ndugu yanguMorning jirani
Sheva... 71976 - Andriy Shevchenko anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Ac Milan na timu ya taifa ya Ukraine.