briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
114k, naona ankali umetupia kimyakimyaEnzi zake sasa, ila Ac Milan ya wakati huo itachukua muda kupata timu kama hiyo tena
114k, naona ankali umetupia kimyakimyaEnzi zake sasa, ila Ac Milan ya wakati huo itachukua muda kupata timu kama hiyo tena
Siyo sababuMourinho hakuwa na mpango nae...
Kwema, kimvua kilikuwa Jana asubuhi na usiku, Leo ni mawingu tuHuku fresh tu, vp huko naskia kuna kimvua flani kilipita?
Kocha alikuwa nani?Ndio chama pekee nililokuwa formation yake siielew, haiko kwenye mpangilio, uwanja mzima watu wanazunguruka.. Then katika list ya formation zote dunian hii haikuwepo.. Kocha alikuwa anawapa position tuu
Umebadili avatar tenainapangwa tena kiuchawi
hii mbaya auUmebadili avatar tena
Utamu ukinoga watu wanasonga mbele tuuAsante, hata sijajua mpaka nimerudi kuangalia
Ni kweli aiseeUtamu ukinoga watu wanasonga mbele tuu
Kwema tu hommie.. Vip pande hizo!?Hawa kwa kutengeneza tu record si ajabu ukakuta imepangwa kabisa, kwema lakini home boi?
Aliathirika kuanzia pale chelseaSiyo sababu
Ingekuwa hivyo basi angetamba alipoenda baada ya Chelsink....kiwango chake kilifikia mwisho
........
Carlo ancellotiKocha alikuwa nani?
........
Hawa watu kwenye kiunda matukio hawajambo..Hawa kwa kutengeneza tu record si ajabu ukakuta imepangwa kabisa, kwema lakini home boi?
Usijisahau ukapitiliza na nyumbani swahiba.Ni kweli aisee
Ni nzurihii mbaya au
kumbe huyo wa kike?Usijisahau ukapitiliza na nyumbani mpenz
Usimsikilize makavelikumbe huyo wa kike?
okeee,lakini we wa kiume??Usimsikilize makaveli
pooooooooooaHabarini family