Makapuku Forum

Makapuku Forum

7.wote waliuwa siku ya ijumaa,na wote walipigwa risasi kichwani.
8.katibu mkuu wa lincoln aliitwa KENNEDY.
na katibu mkuu wa kennedy aliitwa LINCOLN.
9.wote walikuwa na makamu wa rais mwenye jina moja,JOHNSON.
kwa kuwa Bitoz ameleta picha basi tukutane kesho
The Book wa Makapuku kwa msaada wa mtandao.
Mhh! hii haikupangwa kweli??
 
*```Kijana mmoja alikuwa amekaa katika siti ya Basi pembeni ya Mzee mmoja akila chokleti wakati wakisubiri kuanza safari, alipomaliza akanunua chokleti ingine akaanza kula, yule Mzee wa pembeni yake akamwambia kijana "Unajua kama Chokleti zitaozesha meno yako?, yule kijana akajibu " Babu yangu aliishi miaka 140", Yule Mzee akastaajabu na kuuliza tena,"Je babu yako nae alikuwa akila sana chokleti?", kijana akajibu "Alikuwa hafuatiliii maisha ya wengine"```*
sipendi ujinga mimi
Sipendag ujinga on fleek..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom