MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Poleni na kazi nyie Makapuku
Baada ya jana kuwa siku ya misiba, leo ni siku yao kuzakiwa.Leo fulu viongozi![]()
MorningMoningi Makapuku
Apo thawaKumbuka kuna mafuta kwa ajili ya Injini ya Diesel na Petrol hivyo baada ya kugundua Injini ya dizeli, autimatic mafuta yakapewa jina la injini yake.

1951 - Michelle Bachelet anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 34 wa Chile.
NgongotiHBD Marter
Pamoja.Thanks Musso
1961 - Julia Gillard anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 27 wa Australia.
Hahaha...HPD Mertersacker, ila endelea kuumwa tu
Haina noma mkuuAsante mussolin
1976 - Andriy Shevchenko anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Ac Milan na timu ya taifa ya Ukraine.
RealKuzungumza na chizi unaonekana chizi
Leo katika Historia:
Ni siku ya kumuuliza swali mjinga huko nchini Marekani

Muhimu sheikh wanguPoa kabisa, tunajenga taifa
Thnx mr dictactorLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Europa League, tuonane kesho.
1984 - Per Martersacker anazaliwa.
Ni beki wa Arsenal. Pia aliwahi kutamba na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alishinda ubingwa wa Dunia akiwa na Ujerumani mwaka 2014.