sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Binadamu sio watu wazuriihadi mdogo wake pia Reginard Kenedy pia aliuawa wakati anagombea urais wa marekani
Binadamu sio watu wazuriihadi mdogo wake pia Reginard Kenedy pia aliuawa wakati anagombea urais wa marekani
Sawa bitoz mzee wa kuchanaAnayeleta upupu wkt wa segment tunamchana tu kiungwana
Akisusa/akinuna shauri yake
![]()
![]()
![]()
..........
Nimeanzia pale nilipoishia kabla ya kitwangaMbona unapasha sana viporo kulikoni??
Kweli kabisa.....alinena vyemaaView attachment 407599
Huyu Masai wa Kihindi nampendea hii "First they ignore you,then they laught at you,then they fight you,then you win" ni km alivisema Vingongo
Jamaa anaona mbali
.........
Alikuwa vizuri sanaView attachment 407601mmasai yuko vizuri
MakapukuWajinga waliotuignore mwanzo halafu wakatucheka baadaye wakaanza kupambana na sisi kwa kuanzisha Vingongo forum na thread za kutuponda lakini mwisho TULIWASHINDA
angalia ht sasa kale kathread hapo pembeni wanatusema vibaya utafikiri hawajawahi kuliona zuri hata 1 humu...wanafiki tu hao kutwa nzima wana ingia humu kusoma maujanja halafu wanazuga kuponda
Tuwapotezee siyo level yetu
............

Jiwe limefikaHata huku tuko nao wengi tu, wameamua kujileta kitofauti
Wameelewa mziki wetuu..........makapuku buana hatutaki mchezooHata huku tuko nao wengi tu, wameamua kujileta kitofauti

safi mkuu.WATU MASHUHURI WALIOFARIKI KWA KUPIGWA RISASI!!
- John F. Kenedy.Alikuwa Rais wa 35 wa Marekani,aliuawa novemba 22 mwaka 1963 akiwa na mkewe kwenye gari la wazi.View attachment 407581
- Martin Luther King Jr.Alikuwa mwanaharakati wa ubaguzi wa rangi nchini marekani.Yeye alitumia dini ya kikristo kutetea wamarekani weusi huku mwenzie Malcom X akitumia uislamu,King Jr aliuawa miaka mitatu baada ya Malcom X (1965) wote walifariki wakiwa na miaka 35.View attachment 407582
- Abraham Lincoln.Alikuwa rais wa 16 wa marekani,na ndiye wa kwanza kuawa akiwa madarakani.Aliuawa mwaka 1865 akiwa kwenye onesho la muziki na John Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Abraham kutambua haki za watu weusi!!View attachment 407583
- Mahtma Gandhi.Alikuwa kiongozi maarafu zaidi wa india iliyokuwa ikitawaliwa na waingereza,alijulikana kwa hotuba zinatumika hadi sasa.Aliuawa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha NATHURAM GODSE alipokuwa akielekea kufanya ibada mwaka 1948,jan 30.View attachment 407584
- John Lennon.Alikuwa mmoja wa wanakikundi "The Bittles"(Bitoz),walitamba miaka ya 70 na 80.alipigwa risasi akiwa hotelini tar.8.disemba 1980.
- Malcom X.kama ilivyo kwa King Jr,naye alikuwa mtetezi wa watu weusi,yeye aliuawa baada ya kuwa "muislam wa kisuni" na kuondoka katika chama cha "national islam".wauaji wote watatu walikuwa ni wanachama chama hicho!View attachment 407585
- Tupac Omar Shakur.alikuwa mwanamuziki maarufu duniani kote,alipigwa risasi sep.7 1996 akitokea kwenye pambano la Mike Tyson huko las vegas.baada ya miezi sita B.I.G nae aliuawa akihusishwa na kifo cha 2pac.View attachment 407586
Naona ulipoteaTimamu afande, Nipooo![]()
Mimi nilikaa Dodoma, basi yaaniAhsante jirani.. Mkoani maisha lain kweli hasa ukiwa na mihela yako.. Soon ntarud huko kufanya makaz kabisa.
Uzi una speed sana usimlaumukwahiyo nisilete??alafu unajibu post za mbaaaaaaaali
Viporo vitamu we mzeeAcha kupasha kiporo ww, anzia hapa hapa tu
We leta wala usijalii......hapa ni ushirikiano DAIMA kwahyo tuko pamojaakwahiyo nisilete??alafu unajibu post za mbaaaaaaaali
Buni unachoweza ilimradi kisifanane na hivyo vinginesasa mimi changu kipi??
Hiyo niliyo quote sio ya janaa.....HAIRUHUSIWI KUQUOTE POST ZA JANA
Post za jana zimeexpiry
Anzisha swaga mpya
Km huna pumzika
...................
Atachafua mbegu yetu hahahahahaUnavyowalinda du