makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,593
Ila jamani huku nako ni kuzeeshana![]()
![]()
![]()
Sasa briz and I tunawezaje kuwa na mtoto mkubwa hivi halafu asie msikivu??
Pale mama anapomtolea uvivu mtoto wake wa kuasili..
Ila jamani huku nako ni kuzeeshana![]()
![]()
![]()
Sasa briz and I tunawezaje kuwa na mtoto mkubwa hivi halafu asie msikivu??
Ukaseme kwa sauti "Totti dictator uchwarer"Mfalme wa roma.. Jamaa anaheshima sana jiji lile.. Kama unahitaji kufa usihangaike kunywa sumu.. Nenda roma ktk stadio olympico kamtusi totti.. Ukipona hufi leo wala kesho..
![]()
![]()

Poa tu, niambe shemeji yangu..Niaje shemla
Ni sehemu ya kupiga soga tu.Hodi Waungwana, Kila nikiingia JamiiForum naona "Makapuku Forum" Sijajua hii inahusu nini...? Msaada Wapendwa, nimeona leo niingia mnijuze.....
Thanks in Advance.
Umelonga mwana wane..Muda wa segment kila mtu story zake zihusu segment siyo blahblah....siyo lazima kila mtu kapost wakati hana cha kuchangia
Segment zenyewe zipo chache lakini kuna wazushi hawaoni umuhimu wake hadi Siku mtu aache kuzileta halafu wataanza kelele fulani mbona huleti kile kipindi?
UNAFIKI
...............
Fundi hilo.. Nimeanza kumuelewa huyu mtuu..
Hhmm.. Hapana kwa kweli sio mwanetu.. Alikuja nyumbani akajitambulisha eti swtp ni mama yake mdogo, we ndio mama yake mke wangu akataka kumkataa,akasema dad yake hana mtoto mkubwa kama huyo maana kaish nawe utotoni,udogon mpaka sasa ukubwa huu, ila nikamzuia nikamueleza labda ni mtoto wa briz na kwa kuwa kaja pale ni kwao haina neno, amuache tu..Sio mwanangu labda ni wa Sweetiepie
Wewe humjui bitoz?Umenifanya nmechoma mafuta yangu bure, kumbe hamna ishu huku google
![]()
![]()
![]()
Wayeyushaji wengi.. Wengine wanakuja huku kutafta kiki, ila hawana dhamita ya dhat kuwa watu wa humu..Nami ndo naona ajabu
Si bora tagawa.. Movie kibao kaekti anazipiga kinbembe bill drago hajui kupigana kabisa kama maadui wa kihindi vile..Kumbe mashabiki wa movie tupo wengi
Huyo Tagawa mikwara mingi
![]()
![]()
![]()
.......

Mje Mabibo Beach mjionee vivutio
![]()
![]()
![]()
.....
Mfano leo kazaliwa lil Wayne ina maana hakuna anayekumbuka nyimbo/video zake atupie?Umelonga mwana wane..
Mama yangu.. Umekwisha, hawajui maana ya uchwara ila diktekta wanaijua, watakubumbilisa wewe wahun wa italia, mara kumi ukaibe sokon kariakoo kuliko kumtusi totti ktk uwanja waoUkaseme kwa sauti "Totti dictator uchwarer"
![]()
![]()
![]()
Hamna.. Nadhani sasa wanaunda timu ya kusaka medali..View attachment 407579View attachment 407580
Kuchezea ArsayNO ya Siku hizi ni kujinyima medali tu
.![]()
![]()
![]()
.........
Kweli.. Nilikuwa naleta lyrics watu wanapiga soga tu.. Mtu unaacha tu, ila tungekuwa systematically, haichoshi kila siku vtu vpya, sasa kuleta stori uchwara sometime miyeyusho inaboa.Mfano leo kazaliwa lil Wayne ina maana hakuna anayekumbuka nyimbo/video zake atupie?
Unakuta wazushi wako busy kureply mapost yaliyoexpiry tu au kupost mbwembwe tu
Inamkatisha tamaa mleta segment
............
Mkuu hizi ndo swaga tunazotakaWATU MASHUHURI WALIOFARIKI KWA KUPIGWA RISASI!!
- John F. Kenedy.Alikuwa Rais wa 35 wa Marekani,aliuawa novemba 22 mwaka 1963 akiwa na mkewe kwenye gari la wazi.View attachment 407581
- Martin Luther King Jr.Alikuwa mwanaharakati wa ubaguzi wa rangi nchini marekani.Yeye alitumia dini ya kikristo kutetea wamarekani weusi huku mwenzie Malcom X akitumia uislamu,King Jr aliuawa miaka mitatu baada ya Malcom X (1965) wote walifariki wakiwa na miaka 35.View attachment 407582
- Abraham Lincoln.Alikuwa rais wa 16 wa marekani,na ndiye wa kwanza kuawa akiwa madarakani.Aliuawa mwaka 1865 akiwa kwenye onesho la muziki na John Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Abraham kutambua haki za watu weusi!!View attachment 407583
- Mahtma Gandhi.Alikuwa kiongozi maarafu zaidi wa india iliyokuwa ikitawaliwa na waingereza,alijulikana kwa hotuba zinatumika hadi sasa.Aliuawa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha NATHURAM GODSE alipokuwa akielekea kufanya ibada mwaka 1948,jan 30.View attachment 407584
- John Lennon.Alikuwa mmoja wa wanakikundi "The Bittles"(Bitoz),walitamba miaka ya 70 na 80.alipigwa risasi akiwa hotelini tar.8.disemba 1980.
- Malcom X.kama ilivyo kwa King Jr,naye alikuwa mtetezi wa watu weusi,yeye aliuawa baada ya kuwa "muislam wa kisuni" na kuondoka katika chama cha "national islam".wauaji wote watatu walikuwa ni wanachama chama hicho!View attachment 407585
- Tupac Omar Shakur.alikuwa mwanamuziki maarufu duniani kote,alipigwa risasi sep.7 1996 akitokea kwenye pambano la Mike Tyson huko las vegas.baada ya miezi sita B.I.G nae aliuawa akihusishwa na kifo cha 2pac.View attachment 407586
So sad... R.i.p..WATU MASHUHURI WALIOFARIKI KWA KUPIGWA RISASI!!

Mwisho wenu FebruaryHamna.. Nadhani sasa wanaunda timu ya kusaka medali..
sawa bitozMkuu hizi ndo swaga tunazotaka
Uwe unatuma mojamoja ili tuweze kujadili kiurahisi mmoja baada ya mwingine
Ukituma hivyo inakuwa ngumu
Fanya km Mussolini
![]()
![]()
................