MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
HahahahahaKuna mtoto wa jirani anani-bore sana kila nikimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nilimtuma sukari akala yote... Saa hii nimemtuma superglue haongei
Sipendi ujinga mimi
![]()
HahahahahaKuna mtoto wa jirani anani-bore sana kila nikimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nilimtuma sukari akala yote... Saa hii nimemtuma superglue haongei
Sipendi ujinga mimi
![]()
Haaaahaaaa, mkwepa kodi Salam zikufikie popote ulipoSio mwanangu labda ni wa Sweetiepie
NgumbaluTeh teh teh...
Ulisoma skuli gani mufti!!?
Nawe piaaLeo katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa miaka 18 ya Google, niwatakie siku njema.
kuanzia leo nitawaletea "Je Wajua??"?
The Book kwa Msaada wa Mtandao.

Kweli kabisaaIpo.
Mwanzo ilikuwa inaletwa na Quigley na Jana Sacajo ameanza kuileta upya
Jaribu kubuni kingine
Kapige mswaki huko.. Usituchefue hapa..Morning JJ.....me bado sijanywaa![]()
![]()
Mkumbushe aweke labda amesahauBado tu?
Ahsante jirani.. Mkoani maisha lain kweli hasa ukiwa na mihela yako.. Soon ntarud huko kufanya makaz kabisa.Poa jirani, pole na uchovu na hili joto la dar
kwahiyo nisilete??alafu unajibu post za mbaaaaaaaaliKweli kabisaa
Anayeleta upupu wkt wa segment tunamchana tu kiungwana
Akisusa/akinuna shauri yake
![]()
![]()
![]()
..........

View attachment 407599
Huyu Masai wa Kihindi nampendea hii "First they ignore you,then they laught at you,then they fight you,then you win" ni km alivisema Vingongo
Jamaa anaona mbali
.........

Nadhani aliyopangiwa kuongea dunian yaliishia hapo..aliyemuua alikosea sana,pengine angeongea maneno mengine meeengi ya busara
ngoja nimrudisheJamani mke wangu popote alipo namsaka...
HahahahahaLisokwe
![]()
![]()
.......
Bila shaka.. Chini ya miembe.. Embe ikianguka mapumziko..Ngumbalu
Fanya hivyo sasaUkaseme kwa sauti "Totti dictator uchwarer"
![]()
![]()
............
Umrudishe kwani unae wewe!!?ngoja nimrudishe