Makapuku Forum

Makapuku Forum

View attachment 407599
Huyu Masai wa Kipindi nampendea hii "First they ignore you,then they laught at you,then they fight you,then you win" ni km alivisema Vingongo
Jamaa anaona mbali
.........
1474960919285.jpg
mmasai yuko vizuri
 
Wajinga waliotuignore mwanzo halafu wakatucheka baadaye wakaanza kupambana na sisi kwa kuanzisha Vingongo forum na thread za kutuponda lakini mwisho TULIWASHINDA

angalia ht sasa kale kathread hapo pembeni wanatusema vibaya utafikiri hawajawahi kuliona zuri hata 1 humu...wanafiki tu hao kutwa nzima wana ingia humu kusoma maujanja halafu wanazuga kuponda
Tuwapotezee siyo level yetu
............
 
Hata huku tuko nao wengi tu, wameamua kujileta kitofauti
 
Wajinga waliotuignore mwanzo halafu wakatucheka baadaye wakaanza kupambana na sisi kwa kuanzisha Vingongo forum na thread za kutuponda lakini mwisho TULIWASHINDA

angalia ht sasa kale kathread hapo pembeni wanatusema vibaya utafikiri hawajawahi kuliona zuri hata 1 humu...wanafiki tu hao kutwa nzima wana ingia humu kusoma maujanja halafu wanazuga kuponda
Tuwapotezee siyo level yetu
............
wanaingia kila muda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom