MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Afadhali umpige madongo ili mama zangu wasikubali ulaghai wakeHuo ukauzu wako uupunguze, ucje ukakosa mademu hapa ohooo!
![]()
![]()
![]()
![]()
Afadhali umpige madongo ili mama zangu wasikubali ulaghai wakeHuo ukauzu wako uupunguze, ucje ukakosa mademu hapa ohooo!
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante sana kwa historia mwenyekiti
Hebu weka picha
Hicho kipindi mbona kipo huku tayari, labda uangalie wenzako wanachokifanya alafu na ww ukiboreshe ili kiwe cha tofauti kabi$akuanzia leo nitawaletea "Je Wajua??"?
The Book kwa Msaada wa Mtandao.
Itakuwa poa sanakuanzia leo nitawaletea "Je Wajua??"?
The Book kwa Msaada wa Mtandao.
Hakika...angekuwa mwali sasaHata kuoana![]()
![]()
![]()
![]()
HahahahahaKhaa! we jamaa bana![]()
Huyu kweli hataki ujinga
Hahaha...siku hizi tupo kidigitali zaidi.Ambayo sikuhizi hatuyataki
HahahahahaSasa vipi, mbona mchango wako wa kifedha sijauona mpk sasa?
Kwa maelezo zaidi ni Pm
Kwani amehama?Alikuwa na mpango wa kuendelea kucheza kama timu yake ingefanikiwa kucheza ligi ya mabingwa ulaya
Katika ubora wake alikuwa katili mbaya
Mbona unapasha sana viporo kulikoni??Hahahahaha
Yeah Bitoz Nyangema anataka aitwe TupacHahaha...siku hizi tupo kidigitali zaidi.
Bila kumsahau KANU,west n.k1966 - Uche Okechukwu anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Nigeria .
Alikuwepo kwenye kikosi cha Nigeria kilichotwaa medali ya dhahabu katika michuano ya Olimpiki ya majira ya kiangazi pale Jijini Atalanta, Nchini Marekani.
na sikitu hataki jina.Yeah Bitoz Nyangema anataka aitwe Tupac
Mbona unapasha sana viporo kulikoni??
hata mm nashangaaJay Jay Okocha, Sunday Oliseh na wengineooBila kumsahau KANU,west n.k
........
Hahahahaha
Asiwe na wasiwasi kwakuwa tunasafiri kikazi, au kuna tatizo?Hapo sawa, nna imani briz hawezi kuwa na tatizo kwa hii out ya mwenyekiti na karibu wake