Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Nasikia we ndio mbumbumbu wa mwisho?? Google banaGoogle such."Makapuku mbumbumbu"
Majina yaliyokuja mmmh
![]()
![]()
![]()
...........

Nasikia we ndio mbumbumbu wa mwisho?? Google banaGoogle such."Makapuku mbumbumbu"
Majina yaliyokuja mmmh
![]()
![]()
![]()
...........

Tupande ndege ipi au hizi za ATCL?Hakuna tatizo
Acha kupasha kiporo ww, anzia hapa hapa tuMmmh mwee
Carlos " Billy Drago " mzee wa mikwara mingi.Kuna mwingine kipindi cha utoto tulikuwa tunamuita Carlos na yeye hana tofauti na huyu.
Zao ni ujambazi kuu tu
Huyu ni kama anafanyaga kweli... Yani it's like hata yeye huwa yuko hivyo na ndio maana zote yeye huwa aduiUmewahi ona movie zake? Hatakagi ujinga kaka adui
Mwanao natukanwa na huyu mzee we unacheka, huyu baba yangu sijui yukoje
Cash Money Brothers...sijapata muda wa kuichambua. Next time mkuu.
Inachoaha kuwasema sema watu lazima tena wengine hawana hata swaga wanajisemeshasemesha tu km matahira bhana ..mtu km hana swaga si kalale tu kwani lazima na yy kapostWakuu ni utamaduni wetu kuwa kama kuna segment inaendelea basi stori zinazopigwa ziwe ni zile zinazohusu segment husika, ikiisha tunaendelea na stori zetu kama kawaida
Kwanza hatuna kitu kinachotumia muda mrefu.
Ni matumaini yangu kuwa mtaendeleza utamaduni huo ili kufanya KF izidi kuwa homa ya dengue
Ndio namkumbuka sana Carlos sijui yuko wapi siku hizi... Hivi jina lake kabisa ni nani?Kuna mwingine kipindi cha utoto tulikuwa tunamuita Carlos na yeye hana tofauti na huyu.
Zao ni ujambazi kuu tu
Bajaj hapana aiseeTupande ndege ipi au hizi za ATCL?
Yes. Yuko wapi siku hizi?Carlos " Billy Drago " mzee wa mikwara mingi.
Kwao ni bora kujengewa Mara/sanamu Kuliko pesaHakika mkuu. Amebaki kuwa loyal kwa klabu yake licha ya kuwa timu yenyewe ilishapoteza ubora wake.
Pia kuna Daniel De Rossi nae ameamua kumalizia mpira wake Roma.
Umeshindwa ligi na Genda Heka The Book sasa unanitafuta mimi hahahahahaHapa umenena
Jina mojawapo ni lakoUmenifanya nmechoma mafuta yangu bure, kumbe hamna ishu huku google
![]()
![]()
![]()
Weka muda maalumukuanzia leo nitawaletea "Je Wajua??"?
The Book kwa Msaada wa Mtandao.
Unavyowalinda duBora akose asije akanifyatulia mama zangu
Cha ajabu alikuwa hajui kupigana, yani kishamuua msaidizi wake ndo bhass tenaCarlos " Billy Drago " mzee wa mikwara mingi.

Na jimena je?Ambayo sikuhizi hatuyataki
Hahahahaha sasa utulie Kapuku mkubwa weemakapuku wenzangu nimerudi kwa jina jipya.ahsante moderators