Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Story ni muda ambao hatuna segment/kitu cha kujadiliKweli.. Nilikuwa naleta lyrics watu wanapiga soga tu.. Mtu unaacha tu, ila tungekuwa systematically, haichoshi kila siku vtu vpya, sasa kuleta stori uchwara sometime miyeyusho inaboa.
Tubadilike watu wabuni segment siyo kuwa wasindikizaji tu....Tusaidiane kuelimishana,kufundishana vitu vyenye u muhimu
Stori zinaburudisha lakini siyo kutwa nzima au wkt wa segment
Tutaonekana mambumbumbu
.........