shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Haya buanaMabingwa wa EPL first round
Every season
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Haya buanaMabingwa wa EPL first round
Every season
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Naona unazidi kukimbizaaMorning Mp
Nimeziona ulizoquoteHiyo niliyo quote sio ya janaa.....
[emoji35] [emoji35] [emoji35] we bitoz uchwara utulie....au umesahau mimi ni [emoji61] [emoji61]Nenda Rome ukaulize
........
Wengine vinatusumbuaViporo vitamu we mzee
Labda mliwahi kunizaaIla jamani huku nako ni kuzeeshana[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sasa briz and I tunawezaje kuwa na mtoto mkubwa hivi halafu asie msikivu??
Hiyo ya PELE sikujuaUsiyoyajua kuhusu Mpira wa Miguu!!
- Mwanasoka wa brazil,"Pele" alipewa jina hilo la utani lenye maana ya "miguu sita" kwa kuwa alikuwa na vidole sita miguuni.
- Mnamo mwaka 1964 simu aliyopokea refa uwanjani huko nchini peru ilisababisha vifo vya watu 300 kutokana na vurugu.
- Katika kombe la dunia mwaka 1950 timu ya taifa ya india ilitaka kucheza peku lakini FIFA wakagoma,timu hiyo ilisusia mashindano.
The Book,kwa msaada wa mtandao.
- Pele alipokwenda nigeria kucheza soka katika mechi ya ngao ya hisani,pande 2 zilizokuwa zinapigana vita zilikubaliana kusitisha vita hiyo kwa masaa 48.
Kweli kabisaUzi una speed sana usimlaumu
PouwaMorng, niaje wewe!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi sikuangalia vizuri........maana huwa naanza za asubuhiiNimeziona ulizoquote
Huwa sikurupuki
Ukiingia tulia soma post za wenzio sio kuporpmosha maquote yasiyo na u lazima ......
.............
Nawe piaMchana mwema
Mama yangu amenikana hahahahahaSio mwanangu labda ni wa Sweetiepie
🙁Je wajua kuwa "THE AREA BETWEEN YOUR EYEBROWS IS CALLED "GLABELLA""
Kwa Leo niishie hapo.....kwa udhamini wa makapuku wotee