MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Hahahahaha mimi nacheka tu
Hahahahaha mimi nacheka tu
Na Man ya siku hizi je?View attachment 407579View attachment 407580
Kuchezea ArsayNO ya Siku hizi ni kujinyima medali tu
.![]()
![]()
![]()
.........
Mara ya mwisho kubeba EPL na UEFA lini?Na Man ya siku hizi je?
Mfalme wa roma.. Jamaa anaheshima sana jiji lile.. Kama unahitaji kufa usihangaike kunywa sumu.. Nenda roma ktk stadio olympico kamtusi totti.. Ukipona hufi leo wala kesho..
![]()
![]()

Hakika walitisha.Hakika kilikuwa kizazi cha dhahabu
Tuombe uzima tuMwisho wenu February
Tumewazoea
.....
..
Morning MpMorning shululu
Asante bepari, beberu, kabaila hahahahahaLeo katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa miaka 18 ya Google, niwatakie siku njema.
Sawa kabisaAnayeleta upupu wkt wa segment tunamchana tu kiungwana
Akisusa/akinuna shauri yake
![]()
![]()
![]()
..........
Umeeleweka.Muda wa segment kila mtu story zake zihusu segment siyo blahblah....siyo lazima kila mtu kapost wakati hana cha kuchangia
Segment zenyewe zipo chache lakini kuna wazushi hawaoni umuhimu wake hadi Siku mtu aache kuzileta halafu wataanza kelele fulani mbona huleti kile kipindi?
UNAFIKI
...............
Nenda Rome ukaulizeKwan wamemjengea sanamu
Noted mkuuWakuu ni utamaduni wetu kuwa kama kuna segment inaendelea basi stori zinazopigwa ziwe ni zile zinazohusu segment husika, ikiisha tunaendelea na stori zetu kama kawaida
Kwanza hatuna kitu kinachotumia muda mrefu.
Ni matumaini yangu kuwa mtaendeleza utamaduni huo ili kufanya KF izidi kuwa homa ya dengue
Well said.Leo yatupasa kwenda kutalii.. Nilikuwa siijui hii siku.. Next year ntajipanga nikatalii siku kama ya leo roho ikiwa hai inshaallah..
Ila serikali inapaswa kuitazama siku kama hii kuboresha utalii nchin.. Leo ilibid kuwe na ofa za kutosha..
Hata wanaoreply/quote mipost ya Jana tunawanyoosha tu hapahapa bila soniSawa kabisa
R.I.PWATU MASHUHURI WALIOFARIKI KWA KUPIGWA RISASI!!
- John F. Kenedy.Alikuwa Rais wa 35 wa Marekani,aliuawa novemba 22 mwaka 1963 akiwa na mkewe kwenye gari la wazi.View attachment 407581
- Martin Luther King Jr.Alikuwa mwanaharakati wa ubaguzi wa rangi nchini marekani.Yeye alitumia dini ya kikristo kutetea wamarekani weusi huku mwenzie Malcom X akitumia uislamu,King Jr aliuawa miaka mitatu baada ya Malcom X (1965) wote walifariki wakiwa na miaka 35.View attachment 407582
- Abraham Lincoln.Alikuwa rais wa 16 wa marekani,na ndiye wa kwanza kuawa akiwa madarakani.Aliuawa mwaka 1865 akiwa kwenye onesho la muziki na John Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Abraham kutambua haki za watu weusi!!View attachment 407583
- Mahtma Gandhi.Alikuwa kiongozi maarafu zaidi wa india iliyokuwa ikitawaliwa na waingereza,alijulikana kwa hotuba zinatumika hadi sasa.Aliuawa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha NATHURAM GODSE alipokuwa akielekea kufanya ibada mwaka 1948,jan 30.View attachment 407584
- John Lennon.Alikuwa mmoja wa wanakikundi "The Bittles"(Bitoz),walitamba miaka ya 70 na 80.alipigwa risasi akiwa hotelini tar.8.disemba 1980.
- Malcom X.kama ilivyo kwa King Jr,naye alikuwa mtetezi wa watu weusi,yeye aliuawa baada ya kuwa "muislam wa kisuni" na kuondoka katika chama cha "national islam".wauaji wote watatu walikuwa ni wanachama chama hicho!View attachment 407585
- Tupac Omar Shakur.alikuwa mwanamuziki maarufu duniani kote,alipigwa risasi sep.7 1996 akitokea kwenye pambano la Mike Tyson huko las vegas.baada ya miezi sita B.I.G nae aliuawa akihusishwa na kifo cha 2pac.View attachment 407586
Au nyenye mwakinyeroKweli kabisa yaani ni sawa na haya majina yetu, Chacha, Massawe, Komba, Mwakipesile.
hahaha...umetisha.Mfalme wa roma.. Jamaa anaheshima sana jiji lile.. Kama unahitaji kufa usihangaike kunywa sumu.. Nenda roma ktk stadio olympico kamtusi totti.. Ukipona hufi leo wala kesho..
![]()
![]()
Umenena vyema bitoz uchwaraStory ni muda ambao hatuna segment/kitu cha kujadili
Tubadilike watu wabuni segment siyo kuwa wasindikizaji tu....Tusaidiane kuelimishana,kufundishana vitu vyenye u muhimu
Stori zinaburudisha lakini siyo kutwa nzima au wkt wa segment
Tutaonekana mambumbumbu
.........
Namuona mwalimu JK kwa mbaliiView attachment 407590
JFK alikuwa na nuksi sana
Huyu ndo Rais mwenye mikosi kuliko wote USA
Alifiwa hadi na kichanga chake Ikulu
![]()
![]()
![]()
![]()