Makapuku Forum

Makapuku Forum

PENATI YA KWANZA KATIKA SOKA
Penati ya kwanza kupigwa katika historia ya soka duniani ilikuwa ni tarehe 14 sep. mwaka 1891.Mechi kati ya WOLVERHAMPTON dhidi ya ACCRINGTON,mchezaji wa wolves,"Bill Heath" ndiye aliyepiga penati hiyo
.
pena.jpg
 
Hhmm.. Hapana kwa kweli sio mwanetu.. Alikuja nyumbani akajitambulisha eti swtp ni mama yake mdogo, we ndio mama yake mke wangu akataka kumkataa,akasema dad yake hana mtoto mkubwa kama huyo maana kaish nawe utotoni,udogon mpaka sasa ukubwa huu, ila nikamzuia nikamueleza labda ni mtoto wa briz na kwa kuwa kaja pale ni kwao haina neno, amuache tu..
Hatumtambui kabisa
 
WATU MASHUHURI WALIOFARIKI KWA KUPIGWA RISASI!!
  1. John F. Kenedy.Alikuwa Rais wa 35 wa Marekani,aliuawa novemba 22 mwaka 1963 akiwa na mkewe kwenye gari la wazi.View attachment 407581
  2. Martin Luther King Jr.Alikuwa mwanaharakati wa ubaguzi wa rangi nchini marekani.Yeye alitumia dini ya kikristo kutetea wamarekani weusi huku mwenzie Malcom X akitumia uislamu,King Jr aliuawa miaka mitatu baada ya Malcom X (1965) wote walifariki wakiwa na miaka 35.View attachment 407582
  3. Abraham Lincoln.Alikuwa rais wa 16 wa marekani,na ndiye wa kwanza kuawa akiwa madarakani.Aliuawa mwaka 1865 akiwa kwenye onesho la muziki na John Booth aliyeudhiwa na maamuzi ya Abraham kutambua haki za watu weusi!!View attachment 407583
  4. Mahtma Gandhi.Alikuwa kiongozi maarafu zaidi wa india iliyokuwa ikitawaliwa na waingereza,alijulikana kwa hotuba zinatumika hadi sasa.Aliuawa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha NATHURAM GODSE alipokuwa akielekea kufanya ibada mwaka 1948,jan 30.View attachment 407584
  5. John Lennon.Alikuwa mmoja wa wanakikundi "The Bittles"(Bitoz),walitamba miaka ya 70 na 80.alipigwa risasi akiwa hotelini tar.8.disemba 1980.
  6. Malcom X.kama ilivyo kwa King Jr,naye alikuwa mtetezi wa watu weusi,yeye aliuawa baada ya kuwa "muislam wa kisuni" na kuondoka katika chama cha "national islam".wauaji wote watatu walikuwa ni wanachama chama hicho!View attachment 407585
  7. Tupac Omar Shakur.alikuwa mwanamuziki maarufu duniani kote,alipigwa risasi sep.7 1996 akitokea kwenye pambano la Mike Tyson huko las vegas.baada ya miezi sita B.I.G nae aliuawa akihusishwa na kifo cha 2pac.View attachment 407586
Asante sanaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom