Makapuku Forum

Makapuku Forum

HEKIMA
Family naomba maana ya neno hekima
Cc bitoz
Jimena
Musilin5
Billy5
Shululu
Sweetie
Na wengineo
Hekima kwanza inatoka kwa Mungu ni kama talanta...mtu ana kuwa na akili ya kugundua mambo haraka zaidi kwa utashi wa hali ya juu...wakati mwingine hata mtu anataka kukufanyia hila unagundua na pia mtu mwenye hekima huwa anaongea mambo possitive tu wakati wote hana hiana. Hii ni kwa jinsi mimi navyoelewa maana ya neno Hekima
 
Ndio!! aweke Strategic plans zake mezani...watu tutamsupport....maneno mengi hayatoshi
Hawezi kuweka, hajazoea kutumia kwa utaratibu na kufuata sheria

Yeye akiamua kufanya anafanya bila kujali chombo gani kinahusika na hii kazi au fedha

Kifupi yeye ndio Rais, waziri wa fedha yeye, mipango yeye, miundombinu yeye na mambo ya ndani yeye

Sasa hapo tusemeje?
 
1947 - Shirika la Ujasusi la Nchini Marekani ( C.I.A ) Laanzishwa.

Ni moja kati ya vyombo hodari vya usalama katika Dunia hii.

Makao makuu ya CIA yapo huko Langley, Virginia. Ambapo ina wafanyakzi takribani 40,000 Duniani kote. Kati ya hao wanaojulikana ni 22,000 tu.

Pamoja na Operesheni kabambe walizowahi kufanya, Pia CIA imekuwa ikilaumiwa kutokana na kuhusika katika mauaji ya baadhi ya viongozi mbalimbali Duniani hasa kwa Nchi za Amerika ya Kusini na Afrika ambao huwa na mlengo wa kushoto.
CIA wazee wa kazi
 
1964 - Jeshi la Vietnam Kaskazini lavamia Vietnam Ya Kusini na kuanza kuwashambulia katika kile kilichokuja kujulikana kama Vita ya Vietnam.

Ambapo Vietnam ya Kaskazini walikuja kusaidiwa na Marekani wakati Vietnam ya Kusini walisaidiwa na Urusi.

Vita hiyo Maarufu ya miaka ya 1960s ilipigwa katika misitu minene sana ya Vietnam hali iliyowafanya Wamarekani kushindwa vibaya sana!!
No doubt Marekani waliangukia pua
 
Hekima kwanza inatoka kwa Mungu ni kama talanta...mtu ana kuwa na akili ya kugundua mambo haraka zaidi kwa utashi wa hali ya juu...wakati mwingine hata mtu anataka kukufanyia hila unagundua na pia mtu mwenye hekima huwa anaongea mambo possitive tu wakati wote hana hiana. Hii ni kwa jinsi mimi navyoelewa maana ya neno Hekima
Asante kwa ufafanuzi murua

Kingine huwa hawana makuu popote pale, hajali anakaa wapi, anakula nini anaongea na nani
 
Hekima kwanza inatoka kwa Mungu ni kama talanta...mtu ana kuwa na akili ya kugundua mambo haraka zaidi kwa utashi wa hali ya juu...wakati mwingine hata mtu anataka kukufanyia hila unagundua na pia mtu mwenye hekima huwa anaongea mambo possitive tu wakati wote hana hiana. Hii ni kwa jinsi mimi navyoelewa maana ya neno Hekima
HEKIMA
swt p umejibu vizuri sana, ufupi ni huu
HEKIMA
ni uwezo wa mtu;
Kufanya jambo sahihi kwa;
Wakati sahihi
Mahali sahihi
Kwa watu sahihi
Au vitu sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom