Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nilichobariki mimi ni ccm kubomoka, cikutamani isalie kwenye ramani ya siasa, kwani mateso yote ya nchi hii ni wao ni pamoja na Lowasa.
Nilichokiunga mkono ni kuja kuongeza nguvu upinzani
Japo baadae niliona upinzani naoulikosea kwani huyu mtu wanamfahamu sana madudu yake mbali na richmond ambapo alikuwa victim tu, lkn background yake sio njema
Ilikuwa heri nusu shari kuliko shari kamili ambalo ni ccm.
Hapakuwa na namna kwn nisinge vote ccm.
Nadhani nimekujibu
Swali nililojiuliza upinzani haukuwa na mgombea wao wa uraisi mpaka wamachukue kutoka chama tawala awe mgombea tena walituaminisha kuwa Ni fisadi na ushahidi wanao
 
1945 - John McAfee anazaliwa.

Ni mtaalam wa Program za Computer kutoka nchini Marekani.

Ndio mwanzilishi wa McAfee
1474185992635.jpg
 
Wapinzani lazima tuendelee kukosoa na hii ndio kazi yetu.
Lakini tuwe wakweli kwa haya;
1. Nchi ilisha nuka rushwa
2. Watu walifikia kiwango cha miungu
3. Dharau na jeuri ya pesa ilizidi
4. Rushwa ilikithiri

KWA SASA
1. Watu wamenyooka
2. Hofu imetawala kwa wafanyakazi wa umma
3. Angalau wanajituma

ATHARI YAKE
1. wateule wengi wanafanya kz kwa kurupuka
2. Wengi wanaonewa kwani haufanyiki utafiti kabla ya hatua
3. Mkuu amewapa wateule wake jeuri kwn hawana semina elekezi
Naye hakemei uonevu huo
4. Mengi yanafanyika kwa matamko bila kufuata sheria

Dira sahihi ikiwepo tutafika tuendako
Tatizo kubwa tulilonaro kama nchi hatuna dira, kila kiongozi anakuja na mambo yake na hayana faida kwa nchi

Kikubwa tutambue dira yetu ni nini

Kipaombele chetu tuanzie na nini

Mfano tunatatizo kubwa sana upande wa sekta ya elimu, kuanzia msingi mpaka vyuo vikuu

Watu wanamaliza chuo hawajitambui na serikali yetu haijalitambua kama hili ni tatizo
Kilimo nayo haina kipaombele chochote kile, angalia hiki kituko, watu wanalima matunda mwisho wa siku yanaoza, je kesho mkulima huyo ataendelea kulima? Bora aje mjini awe dalali

Tuna viwanda vya watu binafsi vya juisi ili kumlinda mkulima wa Tanzania, lazima azam,mo na Coca-Cola wapewa conditions za kununua matunda angalau 15% kutoka kwa wakulima, utaonana watu watakavyokuwa wanashindana kulima, watermelon , machungwa, tango nk

Kwa hapa tulipofika Tunahitaji kuwa na upembuzi yakinifu wa nini tufanye,

Mimi naona kama bora tunapiga macktime tu
 
Gerezani kuna vituko balaa
Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa wenzake sasa"leo siku ya wali na shemeji jamani"
 
1971 - Sol Campbell anazaliwa.

Ni beki kisiki wa zamani wa Spurs, Arsenal, Portsmouth na timu ya taifa ya England.

Anakumbukwa kwa uhamisho wake wa kushtukiza toka Spurs kwenda Arsenal ambapo Mashabiki wa Spurs ambao ni Wapinzani wakuu wa Arsenal hawajawahi kumsamehe kwa dhambi ile na mpaka leo wanamwita ni MSALITI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom