Rooney - 52Upo njema
Vipi vinara wa magoli
......
1934 - USSR yajiunga katika Jumuiya ya Mataifa. ( League of Nations )
Hakika anachonifurahisha huwa hana haraka naoDe Bruyne anaufanya mpira Uonekane mchezo mwepesi sana! Movement zake akiwa na mpira ni hatari, hachoshi kumtazama.
Sio upupu ni hali halisi dogo anajuaAcheni kutukumbusha upupu
![]()
![]()
![]()
..........
1974 - Xzibit anazaliwa.
Ni rapa toka nchini Marekani.
1971 - Sol Campbell anazaliwa.
Ni beki kisiki wa zamani wa Spurs, Arsenal, Portsmouth na timu ya taifa ya England.
Anakumbukwa kwa uhamisho wake wa kushtukiza toka Spurs kwenda Arsenal ambapo Mashabiki wa Spurs ambao ni Wapinzani wakuu wa Arsenal hawajawahi kumsamehe kwa dhambi ile na mpaka leo wanamwita ni MSALITI.
1973 - Aitor Karanka anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Spain.
Pia alikuwa kocha msaidizi wa Real Madrid ambapo kwasasa ni Kocha wa Middlesbrough ya England.
1971 - Jada Pinkett Smith anazaliwa.
Ni muigizaji toka Hollywood nchini Marekani.
1949 - Peter Shilton anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Uingereza ambaye anashikilia rekodi ya Mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi katika timu ya taifa ya England ambapo amecheza Mechi 125.
1947 - Jeshi la Anga la Marekani ( Us Airforce ) laanza kujitegemea lenyewe baada ya kujiondoa kama tawi ndani ya Jeshi la Ulinzi la Nchi hiyo.
1947 - Shirika la Ujasusi la Nchini Marekani ( C.I.A ) Laanzishwa.
Ni moja kati ya vyombo hodari vya usalama katika Dunia hii.
Makao makuu ya CIA yapo huko Langley, Virginia. Ambapo ina wafanyakzi takribani 40,000 Duniani kote. Kati ya hao wanaojulikana ni 22,000 tu.
Pamoja na Operesheni kabambe walizowahi kufanya, Pia CIA imekuwa ikilaumiwa kutokana na kuhusika katika mauaji ya baadhi ya viongozi mbalimbali Duniani hasa kwa Nchi za Amerika ya Kusini na Afrika ambao huwa na mlengo wa kushoto.
1960 - Fidel Castro anawasili Jijini New York nchini Marekani kwa mara ya kwanza akiwa kama Kiongozi wa Cuba mara baada ya Mapinduzi tukufu ya Mwaka 1959.
Aliwasili New York ili kuhudhuria Mkutano wa Umoja Wa Mataifa.
1962 - Burundi, Jamaica, Rwanda na Trinidad na Tobago wanajiunga rasmi na Umoja wa Mataifa.
Kauzu pekee aliyoiweza usa bila kupata madhara
Toka uzaliwe ndugu yangu.. Leo ndio umeongea pointWapinzani lazima tuendelee kukosoa na hii ndio kazi yetu.
Lakini tuwe wakweli kwa haya;
1. Nchi ilisha nuka rushwa
2. Watu walifikia kiwango cha miungu
3. Dharau na jeuri ya pesa ilizidi
4. Rushwa ilikithiri
KWA SASA
1. Watu wamenyooka
2. Hofu imetawala kwa wafanyakazi wa umma
3. Angalau wanajituma
ATHARI YAKE
1. wateule wengi wanafanya kz kwa kurupuka
2. Wengi wanaonewa kwani haufanyiki utafiti kabla ya hatua
3. Mkuu amewapa wateule wake jeuri kwn hawana semina elekezi
Naye hakemei uonevu huo
4. Mengi yanafanyika kwa matamko bila kufuata sheria
Dira sahihi ikiwepo tutafika tuendako

1964 - Jeshi la Vietnam Kaskazini lavamia Vietnam Ya Kusini na kuanza kuwashambulia katika kile kilichokuja kujulikana kama Vita ya Vietnam.
Ambapo Vietnam ya Kaskazini walikuja kusaidiwa na Marekani wakati Vietnam ya Kusini walisaidiwa na Urusi.
Vita hiyo Maarufu ya miaka ya 1960s ilipigwa katika misitu minene sana ya Vietnam hali iliyowafanya Wamarekani kushindwa vibaya sana!!
Bila samahani.. Usiwaze.Simu inazingua suala la picha siyo net kwahiyo sitaweza kuendelea kuleta picha
Anayeweza aendelee
Samahani kwa usumbufu
.......................
Nadhani Rooney akikaza makalio ataifikia hii..1949 - Peter Shilton anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Uingereza ambaye anashikilia rekodi ya Mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi katika timu ya taifa ya England ambapo amecheza Mechi 125.