Makapuku Forum

Makapuku Forum

1474176780179.jpg
1474176786727.jpg
1474176794093.jpg
 
Comfort Zone = A situation in which you feel comfortable and in which your ability and determination are not being testedView attachment 402330
Haya unganisha dot
Umezoea lugha ya Kilingala huko Congo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........................
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dongo la sunday kwa papaa
 
Jana baada ya kukosa usingizi nikakumbuka maneno ya wahenga alalae usimuamshe ukimuamsha utalala wewe, nikaenda zangu kwenye kambi ya jeshi nikakuta wanajeshi wawili wamelala nikawamwagia maji ,,sasa ivi niko zangu muhimbili nimelala sina tatizo na mtu...
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Jana baada ya kukosa usingizi nikakumbuka maneno ya wahenga alalae usimuamshe ukimuamsha utalala wewe, nikaenda zangu kwenye kambi ya jeshi nikakuta wanajeshi wawili wamelala nikawamwagia maji ,,sasa ivi niko zangu muhimbili nimelala sina tatizo na mtu...
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][em

Mlifanya hivyo wangapi kwani kuna mwingine naye alisema hivyo jana?
 
Back
Top Bottom