yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 2,002
- 10,374
Mama watoto uko vizur mupenzi...
Mama watoto uko vizur mupenzi...
1919 - Nchi ya Uholanzi yawapa haki Wanawake wa Nchi hiyo kupiga kura katika Chaguzi mbalimbali Nchini humo.
Wapinzani lazima tuendelee kukosoa na hii ndio kazi yetu.Unajua hii nchi kuna watu wanafanya kama yao pekee yao. Toka JPM aingie kidogo ila sio sana. Muda mwingine maamuzi magumu Ni lazima ila watu wajue kuwa tunataka maendeleo kwa vitendo wala sio maneno tupu.
JPM aoneshe dira tu mbona tutanyooka
1922 - Hungary yajiunga katika Jumuiya ya Mataifa. ( League of Nations )
Hizi Ni changamoto katika njia ya kulekea kule tunapopataka maana tupo nyuma sana kwa vingi.Wapinzani lazima tuendelee kukosoa na hii ndio kazi yetu.
Lakini tuwe wakweli kwa haya;
1. Nchi ilisha nuka rushwa
2. Watu walifikia kiwango cha miungu
3. Dharau na jeuri ya pesa ilizidi
4. Rushwa ilikithiri
KWA SASA
1. Watu wamenyooka
2. Hofu imetawala kwa wafanyakazi wa umma
3. Angalau wanajituma
ATHARI YAKE
1. wateule wengi wanafanya kz kwa kurupuka
2. Wengi wanaonewa kwani haufanyiki utafiti kabla ya hatua
3. Mkuu amewapa wateule wake jeuri kwn hawana semina elekezi
Naye hakemei uonevu huo
4. Mengi yanafanyika kwa matamko bila kufuata sheria
Dira sahihi ikiwepo tutafika tuendako
Naona tunaenda kwenye gizaTatizo jamaa haonyeshi ni nin kalenga but kagame yuko wazi ni wapi anaipeleka nchi, matunda yanaonekana na anaungwa mkono na watu wake, kumbuka alishirikiana diaspora kuboresha makazi duni ya warwanda, kuimarisha uchumi mipango yake iko wazi.
Endapo jamaa akaweka wazi dira yake ya maendeleo na kuanza kuonyesha dalili za kuisimamia
Tutamuunga mkono mkuu wangu.
Shida dira haieleweki, ni sawa majipu yametumbuliwa lkn swali, what next!
Shida rafu za ccmHizi Ni changamoto katika njia ya kulekea kule tunapopataka maana tupo nyuma sana kwa vingi.
Kingine upinzani nao wawe na nguvu ya pamoja inayoeleweka. Tatizo wanasiasa wa Tanzania hawaeleweki sana.
Safari bado ndefu sana
Hebu tuongee ukweli wewe ulibariki ujio wa Edo kwenda upinzani?Shida rafu za ccm
Pole mkuu, japo wewe ni fundi ktk hiloSimu inazingua suala la picha siyo net kwahiyo sitaweza kuendelea kuleta picha
Anayeweza aendelee
Samahani kwa usumbufu
.......................
Nilichobariki mimi ni ccm kubomoka, cikutamani isalie kwenye ramani ya siasa, kwani mateso yote ya nchi hii ni wao ni pamoja na Lowasa.Hebu tuongee ukweli wewe ulibariki ujio wa Edo kwenda upinzani?