Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umenena sana, acha nigusie ;

ELIMU
...tunataka tuwe nchi ya viwanda,
Tumewaanda vijana na kuwapa
elimu?
Mitaala je?
Au tutaleta wataalum toka Rwanda?
JAPAN
tujifunze toka kwao, walipoamua kuwa nchi ya viwanda waliingia mkataba na usa kuwafundishia vijana 100 kama sikosei, waliporudi nchini walitrain vijana wengi zaidi ndipo Toyota ikaanza.

KILIMO KWANZA
slogan ya kisiasa isiyo na vitendo.
Wakulima wanapata mafunzo?
Wanapata ruzuku kwa kwa wakati?
Wanatafutiwa masoko?
Tatzo tunafanya mambo kisiasa na sifa.. Hawajui wapi siasa wapi siasa isihusike.. Haiwezekan kwenye mambo nyeti, maendeleo n.k ulete usiasa usiasa.. Hakuna kitakachofanikiwa
 
FB_IMG_14741940018861043.jpeg

Naenda kibanda umiza mechi itaanza SAA 8 kamili
Sitaleta Live update....simu naacha gheto mpira ukiisha nitaleta matukio
Kikofia utatoa update
Kazi kwako


........................
 
Tatizo jamaa haonyeshi ni nin kalenga but kagame yuko wazi ni wapi anaipeleka nchi, matunda yanaonekana na anaungwa mkono na watu wake, kumbuka alishirikiana diaspora kuboresha makazi duni ya warwanda, kuimarisha uchumi mipango yake iko wazi.
Endapo jamaa akaweka wazi dira yake ya maendeleo na kuanza kuonyesha dalili za kuisimamia
Tutamuunga mkono mkuu wangu.
Shida dira haieleweki, ni sawa majipu yametumbuliwa lkn swali, what next!
Ndio!! aweke Strategic plans zake mezani...watu tutamsupport....maneno mengi hayatoshi
 
Leo katika Historia:

1502 - Christopher Columbas anawasili Honduras katika safari yake ya nne na ya mwisho kabisa.
Huyu mzee kweli kabisa alisafiri hivyo jamani kama tulivyosoma..sometimes nahisi kama wazungu wametuchezea mchezo wa pata potea hapo! atagundua vipi bara la Africa kwani halikuwa na watu kipindi hicho au inakuaje...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom