Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20160918_161411.jpeg
 
1/Rooney & Martial hawastahili starting XI
Kocha anawabeba bila 7bu ya msingi matokeo yake timu inakuwa ovyo

2/Timu haina nidhamu ya mechi....wachezaji wanacheza faulo za kijinga karibu na box(sizingumzi penalty) kuna mafaulo mengi ya kijinga yalitaka kuigharimu timu

3/Rooney & Martial mechi ijayo wakianza SIENDI KUANGALIA MPIRA

.................
 
Hata kiungo wa chini hachezi inavyotakiwa, kama mechi hizi Carrick angekuwa anacheza ungeona nachokisema
 
Atachezaje Carrick wkt tyr una vizee viwili mbele(Rooney & Ibra)?
Piga kwanza benchi Rooney
Tatizo # 1 ndouangalie mengine
..............
Uko sahihi bitoz, lakini na Jose timu inamshinda kuipanga, fellain, Rooney na martial hawatakiwi kuanza kwa wakati mmoja, ibra nae Dakika 90 kwa sasa haziwezi tena, hapa mwishoni alichoka sana
 
Umefuatilia mechi zote?
Fella mechi nyingi kacheza vizuri
Rooney ndo mzigo ......anasababisha viungo wa chini waelemewe halafu hachezechi timu yupoyupo tu
.............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom