Makapuku Forum

Makapuku Forum

2014 - Scotland yapiga kura ya kujitenga katika United Kingdom.
IMG_20160918_122423.jpeg
IMG_20160918_122443.jpeg
IMG_20160918_122432.jpeg

Samtaimu utengano is better
.....
 
Tatizo kubwa tulilonaro kama nchi hatuna dira, kila kiongozi anakuja na mambo yake na hayana faida kwa nchi

Kikubwa tutambue dira yetu ni nini

Kipaombele chetu tuanzie na nini

Mfano tunatatizo kubwa sana upande wa sekta ya elimu, kuanzia msingi mpaka vyuo vikuu

Watu wanamaliza chuo hawajitambui na serikali yetu haijalitambua kama hili ni tatizo
Kilimo nayo haina kipaombele chochote kile, angalia hiki kituko, watu wanalima matunda mwisho wa siku yanaoza, je kesho mkulima huyo ataendelea kulima? Bora aje mjini awe dalali

Tuna viwanda vya watu binafsi vya juisi ili kumlinda mkulima wa Tanzania, lazima azam,mo na Coca-Cola wapewa conditions za kununua matunda angalau 15% kutoka kwa wakulima, utaonana watu watakavyokuwa wanashindana kulima, watermelon , machungwa, tango nk

Kwa hapa tulipofika Tunahitaji kuwa na upembuzi yakinifu wa nini tufanye,

Mimi naona kama bora tunapiga macktime tu
Sure..
 
Umenena sana, acha nigusie ;

ELIMU
...tunataka tuwe nchi ya viwanda,
Tumewaanda vijana na kuwapa
elimu?
Mitaala je?
Au tutaleta wataalum toka Rwanda?
JAPAN
tujifunze toka kwao, walipoamua kuwa nchi ya viwanda waliingia mkataba na usa kuwafundishia vijana 100 kama sikosei, waliporudi nchini walitrain vijana wengi zaidi ndipo Toyota ikaanza.

KILIMO KWANZA
slogan ya kisiasa isiyo na vitendo.
Wakulima wanapata mafunzo?
Wanapata ruzuku kwa kwa wakati?
Wanatafutiwa masoko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom