Makapuku Forum

Makapuku Forum

1997 - Mobutu Sesseseko anafariki Dunia.

Alikuwa ni Rais na Dikteta wa zamani wa Zaire ( Congo ).

Aliingia madarakani baada ya kumuua Waziri Mkuu Patrice Lumumba.

Anatajwa kuwa Bilionea wa kwanza mweusi duniani.

Alitambulisha sera ya Africanization ambapo kila mtu ndani ya nchi yake alitakiwa kubadilisha jina lake la kizungu na kutumia la kiafrika.

Alianza yeye kubadili jina toka, Joseph Desire Mobutu mpaka Mobutu Sesseseko Kuku Bendu wa Zabanga.

Pia alibadili jina la nchi kutoka Congo mpaka Zaire.

Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.
1473229549874.jpg
1473229556265.jpg

Mobutu
1473229568225.jpg

Lumumba
1473229580261.jpg

.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom