Makapuku Forum

Makapuku Forum

1961 - Joao Goulart anachaguliwa kuwa Rais wa Brazil.
1473227433463.jpg
1473227437830.jpg

.....
 
1968 - Marcel Desailly anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na Timu ya Taifa ya Ufaransa.

Alikuwepo kwenue kikosi cha Ufaransa kilichobeba ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 1998 pale nyumbani kwao Ufaransa.

Pia alibeba kombe la mataifa ya Ulaya " Euro " mwaka 2000.

Pamoja na kuwa ni Mfaransa, lakini alizaliwa nchini Ghana.
 
Humu ndani kuna mchawi wangu, jana hivi hivi nilikuwa navutwa shati wakati naikimbiza 100k....na lazma atakuwa Jonax , nimelala kwa mawazo sana! haiwezekani msoc wangu nimeutelekeza ukapoa kwa ajili ya kufukuzia mwisho wa siku nikatoka na Nunge! wajanja mkawa mnatupia herufi moja moja kuitegea! mi naandika tu...mchawi mwingine ni yule Anajiita Nsekwa...alisema nimshike mkono ndio akanipunguza speed.... Aaaaargh.
Navutwaa, ulitisha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom