Ana malaika wake...1986 - Jenerali Augusto Pinochet, Rais wa Chile ananusurika katika Jaribio lililolenga kumuua.
Nipo. KwemaKijana upo
Ukweli usiokuwa na mjadalaZilikuwa blahblah 7bu kila njemba ilipania na magumashi ndo yameanzia hapo
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
...............
Huyu Monalisa mbona ni gumzo kiasi hichoView attachment 395313View attachment 395314
MwiziView attachment 395317
Picha wenyewe ilichorwa na Leonardo Da Vinci
..........
Aah Shululu mzee wa ku-cc [emoji23] [emoji125]Cc sweetiepie
Huyu mwizi sijui aliwaza nini...kanikumbusha Guillaume oyono Mbia....wa kitabu cha This time tomorrow kama sijakosea.Leo katika Historia:
1911 - Guillaume Apollinaire anakamatwa na kufungwa kwakosa la kuiba picha ya Mona Lisa.
Hii picha natamani kuionaLeo katika Historia:
1911 - Guillaume Apollinaire anakamatwa na kufungwa kwakosa la kuiba picha ya Mona Lisa.
Hapo sasa
Si tutajikumbushia kiduchu lakin ukija nyumbani eti eeh? kiduchu tu [emoji22][emoji22][emoji22]. [emoji173][emoji176]Hhmm.. Usinikumbushe bhana, makavel is excuting simple harmonic motion...[emoji85] [emoji85]
Lakin wewe ndio unanifanya niwe mtaalam, mwili wako ni mzuri, mtam kila eneo na kivutio kila sector, kwahyo najikuta nagusa kila sehem na ku[emoji104] kila idara..
Muzee ya ku-cc[emoji125]Cc makaveli
Morning JjMorning family
Leta ushahidi
Yupo