Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,627
Super tol
Super tol
We unatoa lakini?Toeni like nyie ndezi
Mnabana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
......
1985 - Rafinha anazaliwa.
Ni beki wa kulia wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Brazil.
How I wish ningekuwa americaLeo ni siku ya wapenda bia nchini Marekani.
Asante...Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa JJ, Malkia wa nguvu, Iron lady, Mmiliki wa 100k tukutane kesho.
BYEEE
[emoji20]Werrason
[emoji4][emoji4]Haya basi na wewe umeunusa, usingevutwa ungewini
Thanks le dictatorLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa JJ, Malkia wa nguvu, Iron lady, Mmiliki wa 100k tukutane kesho.
BYEEE
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tunda halipo...nalo lilivutwaaaa [emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Cc sweetiepieMi mwenyewe naweza kufanya massage na huwa namfanyia baby wangu, hatuhitaji mtu wa ziada kwa hilo
Leta picHANiliitusua sema fitna zilikuwa nyingi mnoo..[emoji17][emoji17][emoji17]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
LazimaLeo ntakoma!!!
Mi viungo vyote haswa mbavuMimi shingo iliuma sana
Kwa udhamini mnono kabisa wa Queen Jimena na 100K tuangalie yake yaliyojiri kwenye magezeti siku hii ya LeoLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa JJ, Malkia wa nguvu, Iron lady, Mmiliki wa 100k tukutane kesho.
BYEEE
Cc sweetiepieUnazungumzia ile professional? Naiweza pia
Hawakufanikiwa??!!![emoji33][emoji33] duuh huyo rais mchawi [emoji28][emoji28][emoji28]
Msomee tu mashitakaWewe Nsekwa wewe....una kesi ya kujibu
R.i.p eazy E1963 - Easy E anazaliwa.
Ni rapa wa muziki wa Hiphop kutoka nchini Marekani.