Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makaveli10 angekuepo karibu angekukanda [emoji4] [emoji4]
Yakhe mie naye ishakuwa past tense, hiyo siku hizi mali ya wattuuu, niko zangu chake chake nalima karafuu mie..[emoji60] [emoji60] [emoji60]

In wapemba's voice
 
Bado sijamvulia pichu trust me....i am being honest here!!! tatizo ulifumania maneno tu my love hukufumania Action! I need you...please [emoji17][emoji17][emoji17]
Hhmm.. Ngumu kuamin, maana si kwa maneno yale.. Yanaonesha kabisa upendo mzito uliouficha ndani ya nafsi yako...
Maneno ndio mwanzo wa action.
 
Back
Top Bottom