shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ndiyo Zambia ya sasa kama sikosei1953 - Garfield Todd anakuwa Waziri Mkuu wa Southern Rhodesia.
Ndiyo Zambia ya sasa kama sikosei1953 - Garfield Todd anakuwa Waziri Mkuu wa Southern Rhodesia.
Ya Monalisa? mbona imewekwaHii picha natamani kuiona
Cc sweetiepieWeeee tena uishie hapo hapo.
Mtu huyo apelekwe huko kwa kina kigli sisi wenyewe tunajiweza
Huyo mke wa Msuya naye...nna wasiwasi naye....kwa maelezo niliyoyaona mhhhhh....sitaki kuongea sana wakati kesi bado ipo mahakamani.
Askofu Kala chumvi sana1986 - Desmond Tutu anakuwa mtu wa kwanza mweusi kuongoza kanisa la Anglikana huko South Africa.
Kutoa "Like" au una wazo gani kichwan?Hubani nini?....![]()

Ipo moja tu, na haijulikani ilipo!!!....we angalia hiyo hapo tuHii picha natamani kuiona

Halipo kabisa pako emptyKama tunda LIMEVUTWA silipatii picha mwonekano wake![]()






Nshamfungulia kesi. Nitaiita tena mwezi ujao tarehe 1Msomee tu mashitaka
Ambao leo umebaki magofu tupu1997 - Mobutu Sesseseko anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais na Dikteta wa zamani wa Zaire ( Congo ).
Aliingia madarakani baada ya kumuua Waziri Mkuu Patrice Lumumba.
Anatajwa kuwa Bilionea wa kwanza mweusi duniani.
Alitambulisha sera ya Africanization ambapo kila mtu ndani ya nchi yake alitakiwa kubadilisha jina lake la kizungu na kutumia la kiafrika.
Alianza yeye kubadili jina toka, Joseph Desire Mobutu mpaka Mobutu Sesseseko Kuku Bendu wa Zabanga.
Pia alibadili jina la nchi kutoka Congo mpaka Zaire.
Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.
ZimbabweNdiyo Zambia ya sasa kama sikosei
Uko poa mkuuHahahaha.... nipo hapa Sweetiepie umeamkaje?? Ulifanikiwa kuitusua??
Huyu wakina Franco walimuimbia hadi nyimbo...chezeaa