shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Jiongeze sasaHuyu chini ya meza mbona kama chui!! [emoji33][emoji33]
Jiongeze sasaHuyu chini ya meza mbona kama chui!! [emoji33][emoji33]
ThanksGood morning!
Haina shida, ni saa ngapi hiviTuje twende basi Jirani naona kuna Juice pale...itanifaa sana
2005 - Misri yafanya Uchaguzi wake Mkuu wa kwanza katika Historia ya nchi hiyo.
Jana ndio ilitia fola, mara briz, mussolin na Quigley baadaye jimena ndio ikatulia turiNimem-quote mwingine imeenda kwingine!!! KF inaitetemesha JF[emoji23] hata post ya 100k inabadilika badilika
Sasa nsekwa ndo nini kunifanyia ile jana vile??Thanks
Asubuhi hii alale salama?Ulale salama pia
Hahahaha.... nipo hapa Sweetiepie umeamkaje?? Ulifanikiwa kuitusua??Morning Genius...
1935 - Abdou Diouf anazaliwa.
Alikuwa Rais wa pili wa Senegal.
Na wewe uko machoWerrason
Morning brizGoodmorning FAMILY!!
Haya basi na wewe umeunusa, usingevutwa ungewiniHadi mimi bhaana mbona hivyo....[emoji22]
Yap.View attachment 395313View attachment 395314
MwiziView attachment 395317
Picha wenyewe ilichorwa na Leonardo Da Vinci
..........
1963 - Easy E anazaliwa.
Ni rapa wa muziki wa Hiphop kutoka nchini Marekani.