Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
...hatutaki mchezo, mambo yameenda kijeshijeshi, ila hela tutapewa baadaye maana ni nyingi mno.
Hapa nawaza kama utaweza njoo unipe mate niweze kuhesabu hela.

...hatutaki mchezo, mambo yameenda kijeshijeshi, ila hela tutapewa baadaye maana ni nyingi mno.
Hapa nawaza kama utaweza njoo unipe mate niweze kuhesabu hela.

Wanawagombanishaga nyoka na churaWeeeeh ebu mjibu uko we wa binamu yangu

Hmm!!

Hahhaha aukane tu mm kanishindaNataka nione anavyoukana undugu ss![]()
![]()
Kufutaje tena dingiKauli yako umeshafuta?![]()
Hiiiiiiiii. ......!(kwa sauti ya kolomije)
Majirani tukae mbali kojo lasambaratishwa




Kuikanusha au kuidelete kabisa kua mimi sio mwanaume wa darKufutaje tena dingi
Ebu nitafutie kaka ako jamani nimemmiss mm baba wawili wa kudownload
Ebu ngoja tuone kwanzaKuikanusha au kuidelete kabisa kua mimi sio mwanaume wa dar
Uone nini tenaEbu ngoja tuone kwanza
.....salaleeeeee,bia imeganda inatoa jasho tumbo la samaki rangi ya hudhurungi.

Ww ndo ulimuokota binamu?....yaani asikonde, atapata hela hadi ashone dela la kitenge, asubiri tu hela nilipwe ya korosho na ile ya Mo alipotekwa nitapewa, hujaniona kwenye magazeti?
Mbona mapema babymaryZamu yangu ya ulinzi wa jukwaa imekwisha,
Mlale ss kesho muwahi misa ya kwanza
.....mmmmhh, nauli nitume tena jameni!? Kwani hawezi kuja kwa nauli yake, nitamrudishia nusu ya kurudia.
muda si mrefu naona unavyoporwa