Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Sitaki kuzisikia habari za korosho zako
Usikonde aunt yangu wa ukweli, sasa korosho tunazibeba na magari ya delaya, ntakupitishia kwako.
Sasa ukae nje kabisa maana sitaki nishuke majirani zako waniteke, si unajua nimeuza korosho

