marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Kiswahili kitamu...si huyu nyoka anayefanana na samaki aitwaye kirungumpweke

Kiswahili kitamu...si huyu nyoka anayefanana na samaki aitwaye kirungumpweke

Mary ebu mpe binamu hayo mate jamani tupate hayo mahela...hatutaki mchezo, mambo yameenda kijeshijeshi, ila hela tutapewa baadaye maana ni nyingi mno.
Hapa nawaza kama utaweza njoo unipe mate niweze kuhesabu hela.
Umekaa siti ipi kwani, ?Ooooh nyoka dushelele
Kauzaaa mpe mate kwanzaNaulizia kwanza nipate uhakika km zimeuzika nitie nanga![]()
![]()
Kwa mbele hapaUmekaa siti ipi kwani, ?
SHIKAMOO,,ya j3 hiyo....huyu nyoka kutoka anatoka mwenyewe, akitaka kutoka anakuwaga kwenye hali ya upekwe, karegea so anatoka baada ya kufanya makeke
Kwahyo korosho ipispouzwa sipati jibu?Ntakujibu kesho,nikishapata majibu ya mauzo ya korosho![]()
![]()
Ntakujibu kesho,nikishapata majibu ya mauzo ya korosho![]()
![]()
Jibu utapata wala usjali,,Kwahyo korosho ipispouzwa sipati jibu?
Haya haya wana Makapuku naombeni mniazime mate nikahesabu faranga......subiri jtatu ndo umpe majibu, sasa hizi andaa mate ya kuhesabia faranga

@The book jibu J3......subiri jtatu ndo umpe majibu, sasa hizi andaa mate ya kuhesabia faranga

Weeeeh ebu mjibu uko we wa binamu yanguNtakujibu kesho,nikishapata majibu ya mauzo ya korosho![]()
![]()
Wouzeeerr....huyu nyoka kutoka anatoka mwenyewe, akitaka kutoka anakuwaga kwenye hali ya upekwe, karegea so anatoka baada ya kufanya makeke





mbona nyokaaa
Woyooooo......subiri jtatu ndo umpe majibu, sasa hizi andaa mate ya kuhesabia faranga
Aisee..The Book mbebez wa binamu huyo jamani na hivi kauza korosho zake ebu mwacheni binamu yangu
Kuna ajira mpya niwahi fursa..?