Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Alikutania ujue binamu anapenda matani sana[emoji23] [emoji23] lkn amesema ile bill ilipwe kwa mfuko wangu,ye apewe risiti tuu
Alikutania ujue binamu anapenda matani sana[emoji23] [emoji23] lkn amesema ile bill ilipwe kwa mfuko wangu,ye apewe risiti tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inanijia pic ya madame na fyucha husband [emoji54] [emoji54]
Nauli utatumiwa na binamu
Hahhahaha[emoji39] [emoji39] nimeitamani japo mnasukumiana bill
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....yaani asikonde, atapata hela hadi ashone dela la kitenge, asubiri tu hela nilipwe ya korosho na ile ya Mo alipotekwa nitapewa, hujaniona kwenye magazeti?
We binamu ebu acha ubahili kwa mtindo huo watto wazuri utaishia kuwaita mashemeji.....mmmmhh, nauli nitume tena jameni!? Kwani hawezi kuja kwa nauli yake, nitamrudishia nusu ya kurudia.
Okeee Nduguye upo vyemaAlikutania ujue binamu anapenda matani sana
Acha mama,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inanijia pic ya madame na fyucha husband [emoji54] [emoji54]
Hee, mate nikuletee na nauli nijilipie tena,?.....mmmmhh, nauli nitume tena jameni!? Kwani hawezi kuja kwa nauli yake, nitamrudishia nusu ya kurudia.
HahhahhahahOkeee Nduguye upo vyema
Naisubiri mimi apaHahhahaha
Kumbe unakunywaga eeenh nitakupa offer
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... tena picha iko kwenye furemu kabisa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7], fremu kubwa ukiiangalia ukachukia inakuangukia unakufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NakojoaaaaaaHee, mate nikuletee na nauli nijilipie tena,?
Hahahhah unakunywaga beer ganiNaisubiri mimi apa
We binamu ebu acha ubahili kwa mtindo huo watto wazuri utaishia kuwaita mashemeji
[emoji4] [emoji4] na ukinitazama ukagundua nimekufa,nawe unaanguka unakufa tunapaa angani... tena picha iko kwenye furemu kabisa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7], fremu kubwa ukiiangalia ukachukia inakuangukia unakufa
[emoji13][emoji13][emoji13]We binamu ebu acha ubahili kwa mtindo huo watto wazuri utaishia kuwaita mashemeji
Binamu nakutetea sana ila nimeshindwa kwa ubahili wako pambana na hali yako...hela inauma jamani, ila nikiwaita shemeji sitawapa hela eti!?
Hahahhahaha[emoji4] [emoji4] na ukinitazama ukagundua nimekufa,nawe unaanguka unakufa tunapaa angani