marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
The Book mbebez wa binamu huyo jamani na hivi kauza korosho zake ebu mwacheni binamu yangu
Unamtia hofuWoyooooo
Halafu binamu una wapinzani ujue
Sijahesabu mijihela bado Binamu yakeWeeeeh ebu mjibu uko we wa binamu yangu

Woyooooo
Halafu binamu una wapinzani ujue
Sio hofu tu, hapa nakula beer naiona chunguUnamtia hofu
Hahhhha ngoja tusubili jibuKuna ajira mpya niwahi fursa..?
Ninii jamani
Binamu mm na we ni ndugu ila mauongo yako kuhusu korosho sipendi mm...ujue nini, yaani wewe ndo ndugu yangu wa ukweli, unanitakia mambo mazuri, hapa nawaza, kama anafahamiana na dereva wa basi nitumie namba yake nikutumie parcel
(Mabasi ya Mtwara lakini)
Nimezooom wee lkn sijaelewa.Ninii jamani
Simtii hofu ndio auze korosho ukampe mateUnamtia hofu
UnategemewaHahhhha ngoja tusubili jibu
Mpe Mary mahela hayo binamu....acha tu yaani, ndo maana nakutegemea wewe ndugu yangu , unajua kabisa mimi domo zege ila nna hela, nimeuza korosho
Sio hofu tu, hapa nakula beer naiona chungu






binamu beer haipandi kabisa
Hahahha ambacho haujaelewa nnNimezooom wee lkn sijaelewa.
Binamu kauza korosho ebu nenda ukoUnategemewa
.....salaleeeeee,bia imeganda inatoa jasho tumbo la samaki rangi ya hudhurungi.Baba wawili wangu nimekumiss mm leo cc ningendakoView attachment 929031
Zitafika msimu ujao,?....acha tu yaani, ndo maana nakutegemea wewe ndugu yangu , unajua kabisa mimi domo zege ila nna hela, nimeuza korosho
Enhe mwaga mchele..!Binamu mm na we ni ndugu ila mauongo yako kuhusu korosho sipendi mm