marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Kwaiyo niyaandae ya kutosha.?Simtii hofu ndio auze korosho ukampe mate
Kwaiyo niyaandae ya kutosha.?Simtii hofu ndio auze korosho ukampe mate
Binamu mm na we ni ndugu ila mauongo yako kuhusu korosho sipendi mm
Kabeer katamuuuu binamu.....salaleeeeee,bia imeganda inatoa jasho tumbo la samaki rangi ya hudhurungi.
Usiseme kwa sauti ss.Mpe Mary mahela hayo binamu
Hakuna mchele wowote huyo ndg yanguEnhe mwaga mchele..!
Unachochea ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu beer haipandi kabisa
Yaandae mate yakutosha sanaKwaiyo niyaandae ya kutosha.?
Hiyo chupa hapoHahahha ambacho haujaelewa nn
Sema kweli binamu......watu tu wanataka kutuchonganisha, korosho wala sidanganyi.
Hahhahah nimeachaUnachochea ujue
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Binamu kauza korosho ebu nenda uko
Kwahiyo umeitamani au huijuiHiyo chupa hapo
Nauli utatumiwa na binamu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naendaje ss mtwara
Mpe Mary mahela hayo binamu
[emoji23] [emoji23] lkn amesema ile bill ilipwe kwa mfuko wangu,ye apewe risiti tuuHakuna mchele wowote huyo ndg yangu
Inanijia pic ya madame na fyucha husband [emoji54] [emoji54]Yaandae mate yakutosha sana
Acha korosho ziongeeHahhahah nimeacha
[emoji39] [emoji39] nimeitamani japo mnasukumiana billKwahiyo umeitamani au huijui
HahaNauli utatumiwa na binamu
Nilikuona kwenye font page binamu yangu....yaani asikonde, atapata hela hadi ashone dela la kitenge, asubiri tu hela nilipwe ya korosho na ile ya Mo alipotekwa nitapewa, hujaniona kwenye magazeti?