moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,195
- 770,334
Heshima yako Obe...basi ndo ugonjwa wangu huo, dadeq huwa sikosei kuchagua
Heshima yako Obe...basi ndo ugonjwa wangu huo, dadeq huwa sikosei kuchagua
Mkuu nakusalimuMbavu zangu mimi mama naona leo umeamua kunichekesha mwanao hakuna namna![]()
Safi moud za weweMkuu nakusalimu
Hatujambo karibuNawasalimu makapuku
Safi kiongozi, habari yakoNawasalimu makapuku
Njema Shunie, za usikuSafi moud za wewe
Tualikane mkuu ili nasi tukasaidie kuwasha au kuuzima motoHapana we ndio umepotea mbona mambo ni moto kule
....Mama na mwana wanaimba na kucheza.,..mama na mwana aaaaaahAhahahahh nakufahamu mama
Ewaaaaaaaa....Mama na mwana wanaimba na kucheza.,..mama na mwana aaaaaah
Safi sanaNjema Shunie, za usiku
Ni kwenye storyTualikane mkuu ili nasi tukasaidie kuwasha au kuuzima moto
You are missed..Jamani wapendwa wangu mu wazima?
Nakuhamu shemHakiii nimecheka sana mama angu
Asantee binamuMuziki: Kama Haifungui, Sio Mlango Wako
...waswahili kwa misemo tu hawajambo, hebu ukumbuke huu msemo, bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, ha hahaha na mingine ya aina hii mingi tu. Kwa hali ilivyo tight hapa mjini unaweza kulala mlango wazi kweli! si utakuta wamesomba hadi dodoki la kuoshea vyombo maana watu tunafunga milango na madirisha lkini kila kukicha unakutana na sambusa tu kwenye nyavu! Eeh, sio sambusa za kula, ni ile mikato wadokoaji wa simu wanayotumia kudonoa simu.
Ujumbe wangu leo ni mfupi tu, kama unaingiza funguo mlangoni na haifungui basi umekosea mlango, huo sio wako. Mantiki yangu hapa ni kutokata tamaa maana unapoaribu sehemu moja ili ufanikiwe na usipofanikiwe basi jaribu sehemu nyingine pia, huna haja ya kukata tamaa na kuanza kujilaumu au kulaumu ambao kiukweli hawana msaada kwako ila maumivu. Tunaelewana, sihitaji jibu la ndiyo au hapana, hapa nimetoa maelezo tu wala si swali.
Muziki sasa, kwa sisi tunaojidai kujua kupenda, tukumbushane tu kuwa usijaribu kumfanya mtu akupende, jiamini na utakayependana naye ataanza kukupenda yeye kwanza. Hizi ni kanuni rahisi sana. Nakupenda Kapuku na unalijua hili.
Shikamoo Roho ya obe..Ndiyo hivyo![]()
Uncle obe.....ujue mimi na yeye huwa hatuelewani kabisa, sijui kwanini jamani. Hebu kaa naye umuelewesha manufaa ya kunipenda mimi. Simuelewi kabisa
Naomba leo nikutengee maji ya kuoga babe..?Okay
Asante T za kwakoNakuhamu shem