Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Jamaan jaman umejuaje kama nina kipilipili mimi...ni original wewe wa wapi wewe
![]()
sio kama wewe umeshindwa kuweka dread kisa nywele kipilipili
![]()




Jamaan jaman umejuaje kama nina kipilipili mimi...ni original wewe wa wapi wewe
![]()
sio kama wewe umeshindwa kuweka dread kisa nywele kipilipili
![]()




Haha...sure, hapa hawawezi kuamini kuwa ni wewe unatembea mchana nikakufotoa picha
![]()
Aww nilihisi tu mamaOf course darling daughter naturally![]()
![]()
![]()
Hakuelewi na mambo zako ujue kuna mda unamvuruga tu hajui akuweke kundi lipi...ujue mimi na yeye huwa hatuelewani kabisa, sijui kwanini jamani. Hebu kaa naye umuelewesha manufaa ya kunipenda mimi. Simuelewi kabisa
Ahahahahh nakufahamu mamaUmeona eeeh...
Mama hapo umempa bichwaaUbarikiwe sana Obe unalifanya jukwaa liwe na maana kubwa sana wewe ni mtu muhimu sana kwetu asante sana
Mfyuuuuuuu..mimi kwani nilitaka shikamoo? Mimi nilitaka aniamkie kimalividavi, sio salamu kavu kama shati la mwalimu wa zamu
Mama mbavu zangu yaan ungekuwa mtu wa pombe ningekuuliza leo umekunywa kinywaji ganiNapenda kuamkia siku nyingi napokea tuuuu wacha nizigawee![]()
![]()
![]()
Hahahaha yaani huwa nimemuweka kwenye mabano ila kumshukuru ni muhimu..shukuru kwa kika jambo my baby girlMama hapo umempa bichwaa

Nipo huko na kambi nimeweka kuna story nimewekaKona kona fulani hivi, sema punde tuu hivi ukapotea
...sure, hapa hawawezi kuamini kuwa ni wewe unatembea mchana nikakufotoa picha
![]()








Hahaha Shunie wangu unanipenda mnoo mpaka najishangaaa.hutaki nilinganishwe na huyoooo hahahaha Love you my baby girl![]()
![]()






AhahahahhhhhHahahaha yaani huwa nimemuweka kwenye mabano ila kumshukuru ni muhimu..shukuru kwa kika jambo my baby girl![]()
![]()
![]()
Duuuuhhh..mimi kwani nilitaka shikamoo? Mimi nilitaka aniamkie kimalividavi, sio salamu kavu kama shati la mwalimu wa zamu
...ujue mimi na yeye huwa hatuelewani kabisa, sijui kwanini jamani. Hebu kaa naye umuelewesha manufaa ya kunipenda mimi. Simuelewi kabisa

Mmhhh...ni original wewe wa wapi wewe
![]()
sio kama wewe umeshindwa kuweka dread kisa nywele kipilipili
![]()
Hakuelewi na mambo zako ujue kuna mda unamvuruga tu hajui akuweke kundi lipi
Ahahahh kama nakuona mama hapo ndio anakuvurugaDuuuuhhh
Mama hapo umempa bichwaa