Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Wooooooozaaaaaa vibonge oyeeee hivi mama zile dredy ni og eenhHaswaa sisi kwetu ni mamiss Bantu
Wooooooozaaaaaa vibonge oyeeee hivi mama zile dredy ni og eenhHaswaa sisi kwetu ni mamiss Bantu
Ahahahhhh mfyuuuuu zako mama msupuuuu mcuteee chocolate colour...basi ndo ugonjwa wangu huo, dadeq huwa sikosei kuchagua
Huku wote flatscreen khaaaaJamani nisaidieni manzi mwenye chura humu!![]()
Waooooo...speechless...asante Obe
Kheeeee masikini mama yangu yaan hapo ndio anapokuwa hakuelewi kabisa...nafurahi kusikia hivyo, sina shaka kuwa unalimudu umbo lako na kwa kukupongeza nakuletea shanga zawadi washangae tu wasiojua
Safi za weweHabhari asee
Rafiki nilikumiss hadi naumwa!!Huku wote flatscreen khaaaa
Mbavu zangu mimi mama naona leo umeamua kunichekesha mwanao hakuna namna![]()
Kiukweli Mungu yu mwema.Safi za wewe
Asante binamu obee
Ahahahhh si mnataka wenyewe mnamfanya mama angu kama bibi yenu mna dhambi sana...BH leo anagawa shikamoo kama zawadi ya krisimasi
Hapana we ndio umepotea mbona mambo ni moto kuleKiukweli Mungu yu mwema.
Tumepoteana, kisa mambo yetu yameyeyuka
Nimezidi kuwa mweusi kama anko wako ndio mana sionekani...asante kushukuru, hujambo lakini? Wikend nzima kila nikitype sikuoni?
Shikamooo Obe![]()
I Love this family