Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Umemaliza mbona![]()
...wikend yako ilikuwaje BH
Nahisi kukumiss
Hivi una umbo la kimissLeo sio alhamis
Umemaliza mbona![]()
Huyo alisema aamkiwe na we ukimwambia mama akuamkie atakuamkia tu...mbona mimi mzee huwa haniamkii?
Mama hana umbo la umiss kibonge kama mwanae...wikend yako ilikuwaje BH
Nahisi kukumiss
Hivi una umbo la kimissLeo sio alhamis

Shikamooo Obe...mbona mimi mzee huwa haniamkii?

...wikend yako ilikuwaje BH
Nahisi kukumiss
Hivi una umbo la kimissLeo sio alhamis
Hakika mwanangu unanifahamu vizuri nimeshamuamkia ObeHuyo alisema aamkiwe na we ukimwambia mama akuamkie atakuamkia tu
Haswaa sisi kwetu ni mamiss BantuMama hana umbo la umiss kibonge kama mwanae![]()
Mama hana umbo la umiss kibonge kama mwanae![]()
Muziki: Likizo
...inawezekana mpo wadau humu mko likizo, namaanisha mapumziko yaani ile ruhusa anayoipata mwanafunzi au mwajiriwa. Hongera kwa wote mlio likizo sasa na wale ambao likizo huwa tunazikimbia basi sio mbaya tukajitahidi angalau kupata mapumziko marefu kidogo kwa kile ambacho tunakuwa tunafanya kwa mwaka mzima.
Ila likizo ya kipindi hiki huwa ina mengi, siwaongelei wanafunzi (watoto wa shule) ambao likizo maana yake utumie kujifunza yale utakayosoma mwakani na si ndo ujikalie tu ukibet kama unasubiri ubwabwa msibani hata kuzika hukwenda. Nawaongelea watu wazima kama mimi ambao hiki kipindi cha likizo ndo wanakazana kutafuta sababu ya kuomba likizo ya uzazi mwakani na mvua hizi zinavyonyesha sasa.
Muziki sasa, najiaminisha ulikuwa na wikend nzuri, nami upande wangu ilikuwa poa sana. Muda niliutumia kwa kusoma kitabu kipya nimepewa zawadi ya krismasi, na nikawapigia simu wazee wangu na kuwaahidi wiki moja kabla ya Krismasi nitawapatia sikukuu, maisha mzunguko na upendo ndo muhimu

![]()
![]()
Ilikua poa ..nina umbo la Miss Bantu..tu ila nalimudu
Mbavu zangu mimi mama naona leo umeamua kunichekesha mwanao hakuna namnaShikamooo Obe![]()

Asante binamu obeeMuziki: Likizo
...inawezekana mpo wadau humu mko likizo, namaanisha mapumziko yaani ile ruhusa anayoipata mwanafunzi au mwajiriwa. Hongera kwa wote mlio likizo sasa na wale ambao likizo huwa tunazikimbia basi sio mbaya tukajitahidi angalau kupata mapumziko marefu kidogo kwa kile ambacho tunakuwa tunafanya kwa mwaka mzima.
Ila likizo ya kipindi hiki huwa ina mengi, siwaongelei wanafunzi (watoto wa shule) ambao likizo maana yake utumie kujifunza yale utakayosoma mwakani na si ndo ujikalie tu ukibet kama unasubiri ubwabwa msibani hata kuzika hukwenda. Nawaongelea watu wazima kama mimi ambao hiki kipindi cha likizo ndo wanakazana kutafuta sababu ya kuomba likizo ya uzazi mwakani na mvua hizi zinavyonyesha sasa.
Muziki sasa, najiaminisha ulikuwa na wikend nzuri, nami upande wangu ilikuwa poa sana. Muda niliutumia kwa kusoma kitabu kipya nimepewa zawadi ya krismasi, na nikawapigia simu wazee wangu na kuwaahidi wiki moja kabla ya Krismasi nitawapatia sikukuu, maisha mzunguko na upendo ndo muhimu
Habhari aseeMbavu zangu mimi mama naona leo umeamua kunichekesha mwanao hakuna namna![]()
That's my mom bana![]()
![]()
![]()
Ilikua poa ..nina umbo la Miss Bantu..tu ila nalimudu

AhahahhhhHakika mwanangu unanifahamu vizuri nimeshamuamkia Obe
Hahahaha kha Obe......nafurahi kusikia hivyo, sina shaka kuwa unalimudu umbo lako na kwa kukupongeza nakuletea shanga zawadi washangae tu wasiojua
Mbavu zangu mimi mama naona leo umeamua kunichekesha mwanao hakuna namna![]()