Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Ahahahhhh mfyuuuuu zako mama msupuuuu mcuteee chocolate colour
...na hapa nilimuona akiwa kajipiga mapowda hakutaka kunionesha ile rangi yake ya chocolate ninayopenda
Ahahahhhh mfyuuuuu zako mama msupuuuu mcuteee chocolate colour
Hakuna kitu kinachoumiza moyo kama kumpoteza rafiki uliekuwa unampenda!!Mmh
Sema kweli jamaan![]()
Ndiyo hivyoAhahahhhh

Wooooooozaaaaaa vibonge oyeeee hivi mama zile dredy ni og eenh
Of course darling daughter naturallyWooooooozaaaaaa vibonge oyeeee hivi mama zile dredy ni og eenh

Kheeeee masikini mama yangu yaan hapo ndio anapokuwa hakuelewi kabisa
Ubarikiwe sana Obe unalifanya jukwaa liwe na maana kubwa sana wewe ni mtu muhimu sana kwetu asante sana...nashukuru kwa kuupenda muziki. Uwe na wakati mzuri usiku huu
Umeona eeeh...Kheeeee masikini mama yangu yaan hapo ndio anapokuwa hakuelewi kabisa
MSIMU WA SIKUKUUUUU...BH leo anagawa shikamoo kama zawadi ya krisimasi

Ahahahhh si mnataka wenyewe mnamfanya mama angu kama bibi yenu mna dhambi sana
Kwani me na wewe huwa tunakutana wapi jamaniWapi hulo![]()
![]()
![]()
![]()
Napenda kuamkia siku nyingi napokea tuuuu wacha nizigaweeAhahahhh si mnataka wenyewe mnamfanya mama angu kama bibi yenu mna dhambi sana

Binamuu umekoseaaa mama hayupo hivyo hata...na hapa nilimuona akiwa kajipiga mapowda hakutaka kunionesha ile rangi yake ya chocolate ninayopenda
![]()
Usijal rafiki nakupenda piaHakuna kitu kinachoumiza moyo kama kumpoteza rafiki uliekuwa unampenda!!
Kona kona fulani hivi, sema punde tuu hivi ukapoteaKwani me na wewe huwa tunakutana wapi jamani
Nimezidi kuwa mweusi kama anko wako ndio mana sionekani
Hahaha Shunie wangu unanipenda mnoo mpaka najishangaaa.hutaki nilinganishwe na huyoooo hahahaha Love you my baby girlBinamuu umekoseaaa mama hayupo hivyo hata

Jamaan jaman umejuaje kama nina kipilipili mimi...ni original wewe wa wapi wewe
![]()
sio kama wewe umeshindwa kuweka dread kisa nywele kipilipili
![]()



