Makapuku Forum

Makapuku Forum

ZABURI 121

1.Nitayainua macho yangu,msaada wangu utatoka wapi.

2.Msaada wangu ni katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi.

3.Asiuache mguu wako usogezwe; asisisinzie akulindaye

4.Naam ,hatasinzia wala hatalala usingizi,Yeye aliye mlinzi wa Israeli.

5.BWANA ndiye mlinzi wako, BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.

6.Jua halitakupiga mchana ,wala mwezi wakati wa usiku.

7.BWANA atakulinda na mabaya yote Atakulinda nafsi yako .

8.BWANA atakulinda utokapo na uingiapo Tangu sasa na hata milele.

AMEN

USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE
 
TUOMBE:

Tunakushukuru Baba Mungu wa Mbinguni umetuamsha salama,wako wengi walitamani kuiona leo..hawajaweza.sisi ni nani Baba,mimi ni nani Mfalme wa Amani...Nakushukuru sana Baba mwema.

Umetulinda Usiku kucha kwa Upendo wako mkuu ,umetuepusha na hatari zote za mwili na za roho...

Ni siku nyingine Mpya ya Jumatano tarehe 13 Desemba 2017 ni kwa Neema Baba na Upendo Mkuu umetuchagua nasi ili kuuona Utukufu wako ooh Haleluya Asante Baba kwa yote unayotutendea

Tunaomba Roho Mtakatifu Ukae nasi Siku zote za maisha yetu

Tunakuomba Utulinde Utuongoze na Utubariki Mfalme wa Amani

Angalia Yatima, Wajane ,Wagane, Wafungwa na Waliokata tamaa, wapweke, wanaotafuta wenza , walioonewa, wanyonge, Wakutumaini wewe tu.

Tunaomba u ponye Wagonjwa majumbani na mahospitalini ponya dawa wanazotumia wabariki wanaowatunza wagonjwa na wazee wasipungukiwe Mfalme wa Amani wawe na Upendo na mshikamano

Baba kaa na familia zetu, Ndoa zetu, Wake, Waume, Watoto, Wasaidizi wa ndani, Majumbani, Ndugu, Jamaa na Marafiki wakutafute kwa bidii na wachukuliane mizigo kwa upendo maana kila mtu na mmoja wetu anapitia vita ngumu sana za kimwili na kiroho inua watu mbalimbali wa kumsaidia kila mmoja katika vita yake na tupe tumaini.

Baba tunaomba uwalinde watoto wetu wote wanaosoma na kuishi mbali nasi huko mashuleni na makazini waongoze Baba katika kila jambo uwe mlinzi wao na kiongozi wao na uwainue katika masomo yao na maisha yao kimwili na kiroho

Baba Ukawe dereva wa kila chombo cha Usafiri na kila Msafiri mfunike kwa Damu ya Yesu Majini Nchi kavu Angani tukawe salama Baba tunapotoka na tuendako ..

Ilinde nchi yetu Amani itawale,zuia ajali,machafuko na matatizo mbalimbali yanayosababisha maafa,nafunga roho zote za mauti,shetani ashindwe katika jina la Yesu Kristo

Bariki kazi za mikono yetu Ajira, kilimo, mifugo, uvuvi, Ujasiriamali, Biashara ,Huduma na Masomo ya kila mmoja wa watoto wako.

Baba Wabariki Watumishi wa Mungu katika huduma zao.

Wabariki viongozi wa Serikali wakutafute kwa bidii watende haki

Waangalie Wajawazito na wanaojifungua Baba yetu mwema ili kazi ya uumbaji uliyoikabidhi kwa kila mmoja iwe ya kukupendeza

Asante kwa kuwa Unatupenda sana sana na utatenda sawasawa na mapenzi yako

TUNAOMBA NA KUSHUKURU KATIKA JINA LA YESU MPATANISHI NA MWOKOZI WETU.

SIKU NJEMA

DAMU YA YESU ITUFUNIKE
 
Amen Mom
 
Be blessed lovely Mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom