Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namba 4.

Mathew Bevan na Richard Pryce

Hawa ni raia wa kiingereza . Hawa wataalamu wa computer walifanya udukuzi kwenye computer za serikali kubwa hasimu duniani.

Walifanikiwa kufanya uvamizi na kuweka virus kwenye computer za jeshi la marekani .

Walishavamia computer za Nato, na Lockheed kampuni ya kutengeza holicoputer za kijeshi.

Hawa jamaa alimanisura waazishe vita ya tatu ya dunia baada ya kuchukua mafaili ya Mitambo ya tafiti za Nyuklia za korea kaskazini na kuzituma kwenye kumputer za jeshi la marekani na wakati huo huo kuchukua Faili za staili hiyo za korea kusini na kuzituma nchini marekani.

Pia waliiba mafaili ya UFOs kwenye maabara za jeshi la marekani.

Baadaye walikamatwa .

0e308ff8426c47a952ff74b0072018ec.jpg
46c7dbcd0e81198fc4d32bb20b817519.jpg
f64dcb926c5fc1e4fe221d23ddf46c29.jpg
Interesting

Madame S
 
Namba 3.

Adrian Lamo.

Huyu ni mmarekani pia na amezaliwa marekani.

Lamo anashikilia rekodi ya kufanya udukuzi na kuvamia mitandao mikubwa duniani kama yahoo, microsoft ya Bill Gates, Google na New York Times.

Lamo ndie alimuripoti na kumshtaki Mwanajeshi wa marekani Chelsea Manning aliisaliti nchi kwa kutoa mafaili ya siri ya jeshi na mafaili ya kidiplomasia zaidi ya 760, 000.

Chelsea alidakwa na kufungwa .

149865e1b19a4b8dee57ed699b18d949.jpg
b5b6ff27cd0a3f9b5dc9f41f453f93c6.jpg
 
Namba 2.

Lulz Security,

Hili lilikuwa ni group la hackers ambalo limekiwa likifanya udukuzi kwenye mitandao mikubwa .

Lulz Security wamemia computer za FBI nchini marekani , CIA nchini marekani , Scotland Yard, sony na News international ma mitandao midogo midogo mingi.

Hawa walikuwa wanavamia computer na kiweka ujumbe wa " Laughing at your security since 2011!" Wakimaanisha "Tunacheka usalama wa mtandao wako toka 2011"

Mwisho na vunja mwaka wakaamua kudukua jarida la The Sun na The Times kitangaza kustaafu kwao katika kazi za udukuzi wa mitandao ..

bc502627cd37d49d9d20532c582e4c9d.jpg
35365532a16b0ee4043e0752cb0e317d.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom