Baba wawili huyooooZa jioni jirani
[emoji40] [emoji40] [emoji40]Ntachelewa wapiii wakati nakuhamuu
Usichelewe basi na hali ya hewa ya leo [emoji85]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Akusalimie tu wewe baba jj wake
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Shangaz wangu mwanamke ....kasema hivo shululu au ??
Mume hata hajapumzika ushamdaka na mashtaka wa wapi wwAmesema shemela me na wewe bongo movie mapenzi yetu yanaishia jukwaani tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Wewe ulikula vitumbua vya lini mpaka ukasema hayo...
Mm na shunie kiukweli ni mke na mme mr ..apa nimeweka utan pemben
Kila mtu anakuja kwenye maisha ya mtu Mungu akiamua...through kapuku nimepata mke bora