Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Amefungwa mkuu..Shukrani ndugu yangu..
Ila huyu gary mckinnon, walimuacha salama kweli!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Amefungwa mkuu..Shukrani ndugu yangu..
Ila huyu gary mckinnon, walimuacha salama kweli!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Pamoja mkuuAsante kwa kumi kubwa
Pamoja mdauAhsante mdau
Tukutane kesho
......
Tafsiri sio shida ipo day naweza jaribu na mieTena uanze kutafsiri..![]()
Duh!Aliamini kuwa vyombo vya sheria havifamyi haki...
So akajiua kabla ya kukamatwa
Nadhan alijua balaa analokutana nalo si mchezo kwa aliyoyafanya..
Tycoon MAKAVELI Jr.


upo
Lose yourself.. bonge la ngoma,
Eminem mwanamuzik wangu bora baada ya 2pac.. ngoma yake ya mockingbird inaingia katika top 10 ya ngoma bora nizipendazo na kuskiliza mara nyingi toka kuzaliwa kwangu..
Tycoon MAKAVELI Jr.






Barikiwa sanaaNamba 1.
Gary McKinnon
Huyu jamaa ndio alikuwa Top, sasa hivi ana umri wa miaka 51.
Ni raia wa scotland. Huyu Gary alikuwa ni mtaalamu wa Computer .
Gary aliweza kushambulia na kudukua Computer za jeshi la marekani na NASA ( National Space Agency) akiwa nyumbani kwa shangazi wa mchumba wake.
Gary aliweka virus na kufuta mafaili kwenye computer za NaSA 97.
Gary alikiwa anaingilia computer za jeshi la marekani kwa kufuta mafaili kwenye computer 2000 ndani ya masaa 24.
Alipakua na kunakili password na email za maafisa wa jeshi la marekani na Nasa.
Mbaya zaidi akaamua kuingia kwenye website ya NASA na kuandika ""Your security is a Crap" akimaanisha "Usalama wa Computer zenu ni Uchafu"
Gary alifuta na kufunga computer 300 za kuongozea baadhi ya mitambo ya kutengeneza Silaha nchini marekani , lakini pia Garry aliiba mafaili ya UFO's ambayo hadi leo yanabaki siri kwa jeshi la marekani.
Gary ndie aliefanya udukuzi mkubwa kuliko udukuzi wowote uliowahi kutokea ktk computer za majeshi.
![]()
![]()
Kwa leo Naishia hapa.
Nawatakia Usiku mnono.
Transcend.
Hao wote walikula mjani.. bangi mbaya mnooo
Tycoon MAKAVELI Jr.








In sha Allah penye nia pana njia eehDuh!! Moja ya sehem ninayotaman kufika kabla ya kukata pumzi.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Na mie nasema mungu akupe kile unachokitaka..
![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.



amina
Aya bana tupo na sieNipo ndugu yangu...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wee sema amina tu.. atakuwa mwajuma!!amina
Nalazima utalimwaga tu
Madame S
Wee sema amina tu.. atakuwa mwajuma!!![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.


si naitika dua iwe kama uivyoomba mwajuma kafatani hapa