[emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] miss u moree Baba D wangu halaf nina mashtaka ya shemela shululu jana kanionea sana
Wewe ulikula vitumbua vya lini mpaka ukasema hayo...
Mm na shunie kiukweli ni mke na mme mr ..apa nimeweka utan pemben
Kila mtu anakuja kwenye maisha ya mtu Mungu akiamua...through kapuku nimepata mke bora
We hujui tu jinsi shikamoo invompendeza na hcho kitambi chake[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mme wangu hataki shikamoo mke mwee unataka kumzeesha ili iweje jaman hiyo shikamoo msalimie shemela shululu
Tatizo utani unazidi inabidi tuwe siliasi kidogo dear...
Ila waambie mwezi wa 12 ndoa ...hope kila mtu apa atakaye kuwa tayar kadi atapata
[emoji134] [emoji134] [emoji134] jamaaani shemela unanionea bureSalam yako imekaa kimbea na usirudie kunipa shikamoo. ..
Shubaaaaamiiiitiiiii
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Akamsalimie shululu wake
Ila shunie mama D yaan ulivomrembo wangu ndo unavopatia kunikoshaa na avatar....hiyo unanifanya niishii kwa wasiwasi make haina tofauti na u cute wako ...
Wewe shuny wewe ...nakupendaa