shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Za jioni jiraniMorng jirani
Tycoon MAKAVELI Jr.
Za jioni jiraniMorng jirani
Tycoon MAKAVELI Jr.
Sawa wewe kibongeBaba D kwani me sio kibonge![]()
Najua ila kufikia saa 3 tuko wote homeNimekuhamu ujue![]()
Mi naona mdaubkama upo free mida ya jioni endelea tu hata wiki nzima maana wiki hii majanga pia nishaandika vitu vingi hivyo bora uendelee ili tupate vitu vipya maana ushaanza kuwa gwiji ila jitahidi uandike kiswahili tupuTop Ten leo August 14 2017
Wasalaam..
Leo nawaletea Top Ten..kwa hisani ya Bitoz na Sakayo.
Mawasiliano ni jambo la muhimu kwa maisha ya sasa,kila kitu kinataka masiliano ambayo yanaratibiwa na Computers zetu wenyewe.
Lakini, hatuwezi kutamka masiliano bila kuacha masiliano ya internet.
Mfumo wa internet wa world wide web ( www) umekuwa ukitumika kila siku kuhifadhi na kisafirisha data na mafile kedekede kutoka sehemu moja kwenda mahali pengine.
Mtandao unahitaji usalama na ulinzi. Lakini kumekuwa na baadhi ya wataalamu wa computer (Hackers) kufanya wizi na uvunjifu wa sheria za kimasiliano na mifumo ya computers..![]()
![]()
Leo Tuone watu 10 waliofanya wizi wa data, na kuingia kwenye computers za watu bila ridhaa..
Tuwe pamoja. Nikishindwa kutafsiri kuja kwenye kiswajili mtanisamehe..
Mie mtu safi bhana...
Nyie kipapai.. mie kindizi
Tycoon MAKAVELI Jr.

Mmh mbona umeitikia kwa upole hivyoSawa wewe kibonge

Usichelewe basi na hali ya hewa ya leoNajua ila kufikia saa 3 tuko wote home

Ntachelewa wapiii wakati nakuhamuuUsichelewe basi na hali ya hewa ya leo![]()
Haaaaahaaaa shemelamiss u moree Baba D wangu halaf nina mashtaka ya shemela shululu jana kanionea sana
Ntachelewa wapiii wakati nakuhamuu


hivi shemela shululu ana nini jana katukosea sana ujue anasema me na wewe bongo movie etiAiseeMme wangu hataki shikamoo mke mwee unataka kumzeesha ili iweje jaman hiyo shikamoo msalimie shemela shululu
Cheka tu shemela ila me ndio nakusemea jana ulinitesa sanaHaaaaahaaaa shemela
Akusalimie tu wewe baba jj wakeAisee