Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
Kweli kabisa aiseePazuri mkiwa couple
Madame S
Nimeona kimya namie nikajifanyia yanguMuzee ndo upo # 7
Si mchezo
![]()
![]()
![]()
Ila Kelvin noma sana
......
Yes Madame sNow you know
Madame S
Noma aiseeHahaaaa...
Napata shida kuweka picha...siko sehemu nzuri wakuu..
Ukiona picha ya pixel ndogo vaa miwani![]()
Asikwambie mtu 10 kubwa ngumuNimeona kimya namie nikajifanyia yangu
Madame S
Poa sana
Hii nayo hatari
Pole jamaani....asante, ila sijaondoka Mtwara nipo hapa hapa sema tu muda unakuwa sio rafiki kwangu
Nambie baba watotoMy love
Watu wana hatariNamba 6
Kevin Poulsen.
Huyu ni mmarekani na amezaliwa katika jiji la calfornia.
Kevin aliwahi kuingilia mfumo wa redio KIIS-FM iliyoko katika jiji la LA ili awe mpigaji simu wa 102 katoka shindano la kushindania kupewa gari aina ya Porsche ambalo alikiwa anaota kuliendesha katka maisha yake.
Jamaa alifanya hivyo na kufanikiwa, baada ya kutiwa mikoni mwa FBI kwa makosa 7 ya usafishaji wa hela, udukuzi wa email na masiliano ya simu alikuja kutoka gerezani na kufanya kazi ya uandishi wa habari ambayo alisomea awali.
Sasa hivi ni mhariri katka kampuni ya wired.
Ameshida tuzo nyingi za habari nchini marekani.
![]()
![]()
![]()
Karibu sana baba watoto tunakusubiri kwa hamuMama JJ nipo kongowe nakuja nyumbani kutokea lushoto